Wateja wa matairi ya malori wanapatikana wapi?

Halafu njia nyingine ya kujiongeza nenda pale wanapoosha malori yanayorudi safari...piga story na madereva watakuelekeza...pia nenda pale mbezi parking jichanganye utapata details....
 
sawa asante ngija niende
 
Halafu njia nyingine ya kujiongeza nenda pale wanapoosha malori yanayorudi safari...piga story na madereva watakuelekeza...pia nenda pale mbezi parking jichanganye utapata details....
kaka nimeenda mpaka pale nimegonga geti kafungua mlinzi nikajitambulisha natikea wap na niliyekuja kumuona akasema mlinz akasema mpigie simu mana humu haingii mtu bila appointment inaonekana pale ulinzi ni mkali sana
 
kwaiyo kama ingewezekana nipate mawasiliano yake lakin nimpigie nikifika pale hawez kunikataa nisaidie bro nakuomba
 
Back
Top Bottom