Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 247
Basi nauli imepanda baada ya kuona abiria tumejaa sasa tumeamua kurudi kwenye bajaji na bito!
airtel kwaherini na buriani kama tigo,spidi yenu ilikuwa ndogo lakini nilivumilia kwa sababu ya gharama.
nakuja mkuuKaribu Zantel Kamanda wangu!
Utaenjoy utakavyo kwa furaha yako!
wabongo kwa kupenda rahisi!