zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,919
kuna mafuta kibao. mengine yako kibwena tu kule lake Rukwa basin ambayo tunge supply Zambia na hili bomba la mafuta toka Dar lingekatika ili wachukue mafuta yetu badala ya yale ya uarabuni toka Dar.(Tazama pipeline). Mtwara na Lindi, na visiwa vingine vya Tz ukiondoa Pemba na Zanzibar ambavyo tayari kuna uhakika, kuna mafuta mengi tu. along lake Tanganyika kuna mafuta pia(burundi walisha discover presence ya mafuta kwenye kale ka top kao ka lake tanganyika. tz na congo ndio wenye eneo kubwa zaidi la lake Tanganyika hivyo kama ni kuchimba mafut alake tanganyika tz na congo wangefaidi zaidi kuliko mengine.
presence of gas ambayo tz tulishaanza hata kufulia umeme na kuuza mombasa kwa wakenya, ni dalili kubwa sana kwamba mafuta yapo kule mnazi bay na songosongo island. bado mafia. Mungu ibariki Tanzania.
resources kibao, Mungu atupe nini jamani,gunia la chawa ili tuwamwagie mafisadi? we have coal deposit ambayo tunaweza kutumia zaidi ya miaka hamsini na mia moja. tunaweza kufulia umeme mwingi tukauza nchi zingine hizi. tunayo chuma ya kuchimba miaka mingi sana kule liganga. walisema wanataka kujenga kaleli hadi kule ludewa ili kubeba iyo chuma to the coast, lakini hadi sasa wanang'aa macho tu. wangetupatia sisi wengine hii nchi ndo wangeona namna tunavyfanya. Tz is among the richest nations in terms of resources, tunayo bahari pia ya kusafirishia hivi vitu. t
Hayo yote uliyonena ni swadakta, lakini utachimba na vidole?
Swali hilo ndio jibu lake unalipata unapoona JK akihaha Magharibi na Mashariki kutafuta wachimbaji, mara tumeona ka Mmmerekani, mara kaja Mchina, na mara tutaona na wengine wengi wakija. Hayo yote JK anayajuwa zamani (na wengine wengi) na anayafanyia kazi kishujaa kabisa. Na karibuni tutaanza kuona (tukiwa hai) matunda yake.