Watawala boresheni mifumo tuendane na kasi ya dunia

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,160
Kujisahihisha na kuchukua uelekeo sahihi na makini ni Jambo la kiugwana.

Vijana wa Tz wanapotoshwa sana, maisha sio rahisi ki hivyo sio kila mmoja awe mfanyabiashara, tunaharibu taifa kwa kuongeza utawanyo bidhaa na sio uzalishaji. (Machinga economy) Serikali iwezeshe vikundi na wachache miradi uzalishaji, wengi wapate ajira. Tuachane na siasa za hovyo kuongeza Machinga, Mama ntilie nk.

Hata mfumo wetu elimu focus kubwa iwe kada ya kati na ufundi 80%. Mwendelezo fedha nyingi eti udhamini Digrii mnalipotosha taifa sio hitaji la msingi la taifa halina tija.

Dunia ya sasa ni ya viwanda Assembly kuunganisha TBS na maamlaka nyingine punguzeni urasimu wapeni fursa Watanzania kuanzisha viwanda. China baada kufungulia dunia iwekeze kwao raia wao walianzia na copy bidhaa feki, kwa kuiga ujuzi na kwa hatua wameendelea na bidhaa hadi daraja la kwanza.
 
Back
Top Bottom