Hata kama ni mmoja mimi huwa sina tatizo na kila dakika napigania Haki ya yoyote kudai Haki yake na kufanya lolote like; Tatizo langu ni kushurutisha yoyote katika kutafuta Haki yako au kuondoa Haki ya mwingine...
That said nadhani tatizo ni katika Kudai haki zetu tunazi-categorized kuonekana ni za makundi na watu fulani kumbe deep down ni zetu wote (Umasikini, Ujinga na Maradhi)