Watanzania zindukeni, Taifa linazama

Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.
CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.
Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.
Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.
Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.
Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.
Maisha hayaeleweki ,mara Tozo,sijui mara nini.
Mungu yupo,naye husimama na wenye haki.
Zile pesa zilizomwagwa huku na kule wakati wa uchaguzi 2020 tulijua kinachoenda kufata baadabya hapo. Ni disaster.
 
Mfumuko wa bei utauzuiaje kama hujishirikishi na uchumi? Mumekalia politicking tu badala ya uzalishaji. Theory ya Economics inasema inflation hutokea panapokuwa too much money chasing too few goods. Tokeni kwa Shemeji zenu nendeni mkafanye kazi!!
Utopolo. Huu uzi umekuzidi uwezo wa kufikiri. Nenda Facebook.
 
Hao wenye mamlaka wala hawatokaa kusikia haya malalamiko maana wao wanahudumiwa na serikali kila kitu..yaani hawana bajeti za kula kwao,,Tunawalisha sisi ndio maana wanapanga tu bei watakavyo.

Maji,umeme,usafiri,vocha,vyote wanateleza free tuu...kwanini wasiwekewe watumishi kama walimu hizi huduma????????
Na majumba wanajengeana kupomgezana mamansion.
 
Ndio nyie vijana wa chadema digital hahahaha
Mwambieni wawape semina elekezi hahaha
such a stupid remark. unalinganisha ccm na cdm. leo hii nchi iko mrama kwa sababu bungeni hakuna cdm. Wakati wa mkapa na jk walikuwa wanasikiliza hoja za cdm na wapinzani wanazifanyia kazi mambo yanakwenda. Hata hoja ya katiba haikuwa ya ccm ilikuwa ya cdm, jk akaichukua. jamaa yenu akaipuuza na kuwapuuza wapinzani nchi ikaanza kupumulia mashine mbele yake....na sasas tunaelekea icu.

kuna hoja gani ya maana ccm wameitoa katika kipindi cha miaka 6 iliyopita?
 
Unajiamini kitu gani wakati huna akili kabisa wewe?
Hujui kuwa inflation ni anguko kuu la Uchumi, halafu eti unajiamini kwa lipi ?
au unajiamini kwa ujinga ulionao?
Wewe unabwata tu hata unachoongea hakina uhalisia. Kama uchumi wewe huna uwezo wa ku afford purchase of essential commodities hiyo ni personal problem.

Ila kwa taarifa yako Tanzania ni kati ya nchi 10 za Afrika zenye uchumi mkubwa pamoja na SA, Nigeria, Egypt, Morocco, Algeria, Angola, Ethiopia, Ghana na Kenya.

Kama huna hela wewe go to hell
 
Watanzania hata uwauzie nyama 10,000 hawezi kuitingisha serikali watabaki wanalalamika mitandaoni..upandaji huu ingekuwa nchi zingine pasingetosha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sisi hatuna vita yoyote,na tutafika tunakokwenda,yuko wapi mungu wenu wa Chato mliyemwabudu na kupanga atawale milele?
Mlivyo wajinga mna akili za kuku,eti mnaiona hata kesho wakati kesho ipo mikononi mwa Mungu.
Mimi sikuwa mfuasi wa Magufuli, nenda kasome posts zangu zote kuanzia 2016. Tatizo mnakariri kila anayewakosoa mnamuona ni CCM au Pro Magufuli
 
Afrika ni bara masikini, hivyo hata kama ingekuwa ni nchi ya kwanza barani Afrika bado ingekuwa masikini tu. Hapa unachojisifia ni sawa na kumsifia mtoto wako kuwa kwenye top ten huko darasani lakini ni top ten ya waliopata division IV.
abwata tu hata unachoongea hakina uhalisia. Kama uchumi wewe huna uwezo wa ku afford purchase of essential commodities hiyo ni personal problem.

Ila kwa taarifa yako Tanzania ni kati ya nchi 10 za Afrika zenye uchumi mkubwa pamoja na SA, Nigeria, Egypt, Morocco, Algeria, Angola, Ethiopia, Ghana na Kenya.

Kama huna hela wewe go to hell
 
Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.
CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.
Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.
Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.
Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.
Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.
Maisha hayaeleweki ,mara Tozo,sijui mara nini.
Mungu yupo,naye husimama na wenye haki.
Fanyakazi ,acha kulalamika.
 
Unajiamini kitu gani wakati huna akili kabisa wewe?
Hujui kuwa inflation ni anguko kuu la Uchumi, halafu eti unajiamini kwa lipi ?
au unajiamini kwa ujinga ulionao?
Unaropoka tuu kwa kuwa umekariri neno inflation hata huelewi unachoongea fala wewe..

Utakufa kwa chuki na upumbavu wako,weka statistics zinazoonyesha uchumi inaanguka vinginevyo huu upumbavu wako kasimulie mke wako..

Chagua mojawapo ya nchi hizi hapo chini basi ukaishi vizuri kwenyewe hakuna inflation maisha ni matamu Tzn hapa ni magumu👇👇

Screenshot_20211022-185621.png

Screenshot_20211022-185717.png
 
Twend
Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.
CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.
Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.
Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.
Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.
Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.
Maisha hayaeleweki ,mara Tozo,sijui mara nini.
Mungu yupo,naye husimama na wenye haki.
twende na wakati
 
unaona upande mmoja. kwa uliyo ongea hapa wewe ni Chongo.akili yako imechagua kuona shida. yapo mazuri Mengi yamefanikishwa. Mungu tupo naye siku zote, naona unataka kumuelekeza na kumfahamisha kuwa kwa kuiondoa CCM mambo yatakuwa mazuri.
Nashauri nenda kapate Elimu ya Dini. umekosa uelewa.

kuhusu bei za vitoweo, kama huna uwezo wa kula nyama ya ngombe. tafuta unachoweza kula. usijinga'nga'nize kununua nyama wakati moyo unavuja damu.
 
Mzimu wa JPM unalitafuna Taifa na kama ilikuwa si kwa mapenzi ya Mungu tujiandae na dhiki kuu
 
Back
Top Bottom