Watanzania zindukeni, Taifa linazama

Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.
CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.
Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.
Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.
Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.
Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.
Maisha hayaeleweki ,mara Tozo,sijui mara nini.
Mungu yupo,naye husimama na wenye haki.
Kuna watu akili hamna,in fact bei za nyama kupanda ni dalili kwamba wafugaji watafaidi sasa.

Hata hivyo uuzaji wa nyama na ng'ombe nje imeongezeka sasa sijui na hili ni la serikali? 😄😄😂😂..Ujinga ni mzigo mkubwa Sana aisee..

Huku mikoani hizo bei za Dar mbona hazipo? Na majitu ya Dar kila kitu ni ulalamishi hadi kero..

Hivi unaweza mueleza mtu wa kijijini kwamba tozo zinaumiza wakati zimemsaidia kupata barabara na huduma za afya akakuelewa? Ndio maana serikali inawapuuza nyie wa mjini hamjui shida yoyote .

Hata maji huko Vijijini ni tatizo miaka mingi sasa zikitatuliwa kawaeleze kwamba tozo zinaumiza kama watakuelewa,ndio maana machadema hakuna anayeyasapoti.

Kama huku ndio kuzama si bora liendelee kuzama tuu maana tunazama vizuri chini ya Samia,chuki zako hazitabadili kitu mtapuuzwa as usual.

Screenshot_20211124-152138.png

Screenshot_20211123-111621.png

Screenshot_20211123-111536.png

Screenshot_20211123-111217.png

Screenshot_20211123-112027.png

Screenshot_20211124-061843.png

Screenshot_20211119-101540.png

Screenshot_20211112-093702.png

Screenshot_20211110-085639.png

Screenshot_20211120-161636.png
 
Haya ni mabadiliko ya kawaida Sana. Kwasabb maisha yanasonga mbele basi usitegemee bei kubakia palepale.
Kenya tangu mwaka 1990 hadi sasa hivi hakunaga mfumuko wa Bei,acha kuwa mjinga kiasi hicho, mfumuko wa Bei ni anguko la Uchumi.
Epuka laana,kaa mbali na CCM,
 
mmm ni kama unangea kwa asila brother.shida ni wewe mwenyewe.chama chama.hata wewe ni shida wenzetu wanabuni viwanda vya kutengeneza nyama huko ulaya.yaani kiwanda ni maalumu kwa utengenezaji wa nyama.wewe umefanya nini?unalalamika tu shida ujitambui buni njia mbadala nyama itashuka mpaka eflu tatu.
Vijana wa CCM nyie ni mambumbumbu kweli,kwa hiyo nikianzisha kiwanda cha nyama mfumuko wa Bei Tanzania utashuka?
Fala kweli wewe, mbona kuna viwanda vingi vya Sukari na Bei ya sukari iko juu?
Mbona kuna viwanda vingi vya sabuni na Bei ya sabuni iko juu?
Fala kweli wewe boya.
 
Kuna tofauti kati ya msimamo na upumbavu. Wewe una akili tegemezi ya kufuata upepo mimi nina jiamini. Ndiyo tofauti yetu
Unajiamini kitu gani wakati huna akili kabisa wewe?
Hujui kuwa inflation ni anguko kuu la Uchumi, halafu eti unajiamini kwa lipi ?
au unajiamini kwa ujinga ulionao?
 
Nyie mna vita yenu kwenye JF, hamfiki popote. Ni ndoto tu za kiuwendawazimu
Sisi hatuna vita yoyote,na tutafika tunakokwenda,yuko wapi mungu wenu wa Chato mliyemwabudu na kupanga atawale milele?
Mlivyo wajinga mna akili za kuku,eti mnaiona hata kesho wakati kesho ipo mikononi mwa Mungu.
 
Kama hujishughulishi na shughuli yeyote ya kiuchumi lazima utaona nchi inazama, kumbe unazama wewe binafsi. Tumia muda wako kutafuta pesa, uana harakati wa ki CHADEMA unakupotezea muda tu
Wewe ni mpumbavu tu,just like other fools.
Anguko la Uchumi unalihusishaje na Chadema?
Tunazungumzia mfumuko wa Bei halafu unaleta simple arguments,idiot!
 
Hivi lini utakuwa na akili mbadala wewe kiumbe?
Yaani kila kukicha akili zako ni kutu tu
Mambo ya maana wewe ni kebehi tu ukizingatia wewe ni kapuku wa kutisha!
Huyo anaishi kwa shemeji yake na ana lala sebuleni sasa akili atazitoa wapi mkuu?
Yaani vijana wa CCM ni janga la Tanzania
 
Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.
CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.
Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.
Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.
Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.
Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.
Maisha hayaeleweki ,mara Tozo,sijui mara nini.
Mungu yupo,naye husimama na wenye haki.
Ccm janga la kitaifa muda ndo huu wa kuindosha bila hivyo tutabak masikin mpak mwisho wa dunia wakati kundi dogo ndan ya ccm wakiwa matajiri kwa kodi zetu tunataka katiba mpya
 
Taifa lipo very resilient enough. Serikali izungumzie hili na utatuzi wake ni nini na lini au ni kwa kipindi gani.
 
Kuna watu akili hamna,in fact bei za nyama kupanda ni dalili kwamba wafugaji watafaidi sasa.

Hata hivyo uuzaji wa nyama na ng'ombe nje imeongezeka sasa sijui na hili ni la serikali? ..Ujinga ni mzigo mkubwa Sana aisee..

Huku mikoani hizo bei za Dar mbona hazipo? Na majitu ya Dar kila kitu ni ulalamishi hadi kero..

Hivi unaweza mueleza mtu wa kijijini kwamba tozo zinaumiza wakati zimemsaidia kupata barabara na huduma za afya akakuelewa? Ndio maana serikali inawapuuza nyie wa mjini hamjui shida yoyote .

Hata maji huko Vijijini ni tatizo miaka mingi sasa zikitatuliwa kawaeleze kwamba tozo zinaumiza kama watakuelewa,ndio maana machadema hakuna anayeyasapoti.

Kama huku ndio kuzama si bora liendelee kuzama tuu maana tunazama vizuri chini ya Samia,chuki zako hazitabadili kitu mtapuuzwa as usual.

View attachment 2022758

View attachment 2022759

View attachment 2022760

View attachment 2022761

View attachment 2022762

View attachment 2022767

View attachment 2022768

View attachment 2022769

View attachment 2022770

View attachment 2022773
Halafu eti na wewe pengine unaitwa msomi,na akili za mavi ulizonazo, mfumuko wa Bei ni neema kwa watu?
Siyo nyama tu iliyopanda , Mafuta ya kupikia, Sukari, sabuni na Pesa haina Thamani,ni Bora ungeficha ujinga ulionao hapa.
 
Taifa lipo very resilient enough. Serikali izungumzie hili na utatuzi wake ni nini na lini au ni kwa kipindi gani.
Ni vizuri serikali kutoa updates za kiuchumi kila mwezi au quarter. Ambazo BOT hutoa ila sidhani kama zinawafikia walaji wa taarifa hizi na kwa tafsiri ambazo zitaeleweka kwa wananchi wa kawaida.
 
Wewe ni mpumbavu tu,just like other fools.
Anguko la Uchumi unalihusishaje na Chadema?
Tunazungumzia mfumuko wa Bei halafu unaleta simple arguments,idiot!
Mfumuko wa bei utauzuiaje kama hujishirikishi na uchumi? Mumekalia politicking tu badala ya uzalishaji. Theory ya Economics inasema inflation hutokea panapokuwa too much money chasing too few goods. Tokeni kwa Shemeji zenu nendeni mkafanye kazi!!
 
Back
Top Bottom