Watanzania zindukeni, Taifa linazama

Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.
CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.
Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.
Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.
Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.
Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.
Maisha hayaeleweki ,mara Tozo,sijui mara nini.
Mungu yupo,naye husimama na wenye haki.
Usijitingishe mkuu. Mama anaponya nchi. Magufuli aliiharibu sana nchi hii 😂😂😂
 
Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Haya ni mabadiliko ya kawaida Sana. Kwasababu maisha yanasonga mbele basi usitegemee bei kubakia palepale.
 
Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.
CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.
Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.
Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.
Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.
Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.
Maisha hayaeleweki ,mara Tozo,sijui mara nini.
Mungu yupo,naye husimama na wenye haki.
Ukisoma hii post unaweza fikiri Nchi yetu ni sawa na Zimbabwe lakini ukienda mtaani wala watu hawana time na hizo sintofahamu. Fanya kazi kijana acha longolongo za #KatibaMpya
 
mmm ni kama unangea kwa asila brother.shida ni wewe mwenyewe.chama chama.hata wewe ni shida wenzetu wanabuni viwanda vya kutengeneza nyama huko ulaya.yaani kiwanda ni maalumu kwa utengenezaji wa nyama.wewe umefanya nini?unalalamika tu shida ujitambui buni njia mbadala nyama itashuka mpaka eflu tatu.
 
Ukisoma hii post unaweza fikiri Nchi yetu ni sawa na Zimbabwe lakini ukienda mtaani wala watu hawana time na hizo sintofahamu. Fanya kazi kijana acha longolongo za #KatibaMpya
UNAKERA. Wewe ni mwanaume bana huko kama jike. Kuwa na msimamo.
 
Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.
CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.
Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.
Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.
Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.
Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.
Maisha hayaeleweki ,mara Tozo,sijui mara nini.
Mungu yupo,naye husimama na wenye haki.
Kama hujishughulishi na shughuli yeyote ya kiuchumi lazima utaona nchi inazama, kumbe unazama wewe binafsi. Tumia muda wako kutafuta pesa, uana harakati wa ki CHADEMA unakupotezea muda tu
 
La msingi ni kimobilize watu kupigia kelele hivi vitu pasipo kuhusisha vyama vya siasa...

Shida yetu kila jambo tunataka kuwe na chama cha siasa hata kwa kulazimishana..

Mobilization ifanyike kupitia watu, mitandao, vyombo vy habari na watu waitie presssure serikali dhidi ya ugumu wa maisha...kifupi movement iwe chini ya mikono ya wananchi maana wananchi wengi hawana imani na wanasiasa kwenye movement yeyote ile..
 
Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.
CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.
Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.
Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.
Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.
Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.
Maisha hayaeleweki ,mara Tozo,sijui mara nini.
Mungu yupo,naye husimama na wenye haki.
Binafsi naona CCM wako sawa kwasababu wanategemea wizi wa kura kupanga Matokea mwizi wa kura unategemea akuletee maendeleo au unafikiri mbinu alitozitumia kuiba kura anashindwa kuzitumia kuiba kodi yako?
 
Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.
CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.
Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.
Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.
Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.
Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.
Maisha hayaeleweki ,mara Tozo,sijui mara nini.
Mungu yupo,naye husimama na wenye haki.
Ohoooooooooo!
 
Sababu nchi inaongozwa na watu wasio na maadili japo kwe ishara za nje wanajifanya wachamungu
 
Back
Top Bottom