Watanzania zindukeni, Taifa linazama

Mfumuko wa bei utauzuiaje kama hujishirikishi na uchumi? Mumekalia politicking tu badala ya uzalishaji. Theory ya Economics inasema inflation hutokea panapokuwa too much money chasing too few goods. Tokeni kwa Shemeji zenu nendeni mkafanye kazi!!
Kazi vijana wamefukuzwa kwenye umachinga waje kukutawaza matackle ama?
 
Kwani wanaotawaza matako ya wazungu huko ulaya na Amerika mnaowaita wapiga box wana tofauti gani na vijana wa hapa Tz?
Tofauti iliopo ile ni ajira rasmi na inatambulika kisheria!

Wekeni mifumo ya ajira za kueleweka muone kama kuna watu watashinda vijiweni!

Ulaya kazi zipo nyingi wazungu hawazitaki ndio blacks wakienda wanapata kujifanyia kazi na kulipwa masaa yao! Tofauti ya kuosha matako ya bibi ulaya utalipwa equivalent ya elfu 53,000 kwa saa huku Bongo nani atakulipa hio pesa kwa saa 1 tu!?

Hawa wabongo wanaoshinda maofisini tu wengi malipo yao ni less than 40K kwa masaa 8! Ukiondoa Managerial positions.

Vibarua kwetu mtu anakulipa 5000 akuhenyeshe siku nzima. Kuna uchumi unajengwa kwa TZ shilingi 5000 kwa siku?
 
Wewe unabwata tu hata unachoongea hakina uhalisia. Kama uchumi wewe huna uwezo wa ku afford purchase of essential commodities hiyo ni personal problem.

Ila kwa taarifa yako Tanzania ni kati ya nchi 10 za Afrika zenye uchumi mkubwa pamoja na SA, Nigeria, Egypt, Morocco, Algeria, Angola, Ethiopia, Ghana na Kenya.

Kama huna hela wewe go to hell
Acha propaganda wezi wa kura nyie
 
😍😍👍
Mkuu mimi hao washenzi wenye chuki huwa nawatolea uvivu kwa kuwapa makavu na facts juu..

Saizi wakulima wanalalama bei za mbolea kupanda ambalo ni tatizo la Dunia sio la serikali ya Samia lakini ndani ya miezi 8 ofisini ame mobilise wawekezaji 2 wanajenga viwanda vikubwa Dom na Mtwara by next year uzalishaji unaweza kuanza na nafuu ikapatikana.

Wapiga kelele wengine wamekaa miaka 6 na maneno mengi ya Tzn ya viwanda lakini hakuna kiwanda hata kimoja cha mbolea walijenga.

Ona mambo ya mama hapa 👇

Screenshot_20211123-111621.png


Screenshot_20211123-111536.png


Screenshot_20211123-111217.png


Screenshot_20211117-134136.png
 
Tozo za M PESA kwa watu maskini ni kuiponya nchi? mfumuko wa Bei ni kuiponya nchi?
Kudai katiba mpya na kusingiziwa ugaidi ni kuiponya nchi?
Mkuu si tulishakubaliana kuwa Magufuli aliiharibu sana hii nchi kwa miaka mitano. Na tukakubaliana kuwa mama anaupiga mwingi na anaiponya nchi baada ya kuharibiwa na Sukuma Gang na MATAGA 😂😂😂😂
Sasa hivi naamini Sukuma Gang na MATAGA wananyooka
 
Huwezi kuwa na viongozi ambao wao wanaona wanachoongea wananchi ni ujinga,ujue hao walishajimirikisha nchi na wakisikia hata mawe yanaweza kuongea,serikali ya CCM haijawahi ESHIMU kauli ya wananchi yaani kwa hali kwa hii wananchi wakigeuka utawalalamikia kwa lipi ikiwa kamwe hutaki kuwasikiliza,serikali ambayo inapeana vyeo kifamilia huwezi kusema italikomboa Taifa kiuchumi.Watanzania wakatoa maoni kwenye katiba ya WARIOBA bado napo CCM na serikali yake na dola yao wakagoma SASA WW KAMA MTANZANIA UNADHANI SULUHISHO NI LIPI KWA NCHI HII YA TANZANIA,MAANA HATA UCHAGUZI UNABAKWA TU WATANZINIA MASKINI WANASIMAMA KWENYE MISTARI KUPIGA KURA ILHALI UCHAGUZI ULISHAISHA ZAMANI NA KWA NN CCM NA SERIKALI YAKE VINAWADHARAU WATANZANIA KIASI CHA KUTISHA NAMNA HII.
 
Back
Top Bottom