Watanzania: Wiki hii ni kuiweka sana kwenye maombi kuelekea uchaguzi

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
10,690
9,871
Nikiwa kama raia wa nchi hii,nimeona vyema kuwashirikisha hili jambo.

Kama utaona vyema katika kuelekea uchaguzi ,wiki hii ni vyema tufunge na tuingie katika kuomba kila mtu kwa imani yake, najua kwa kushirikishana jambo hili Mwenyezi Mungu atatunusuru katika majanga tofauti tofauti pamoja na hila za mataifa makubwa.

Maisha ya Watanzania ni muhimu kuliko chochote.
 
Back
Top Bottom