Watanzania wenzangu...

Kuwa makini na toa taarifa sahihi ct scan mnh ni lak 1.7 na ni mbovu mda mrefu , mashine moja inahudumia nchi nzima haifanyiwi service itadumu vipi???
Bishanga kasema zinafanyiwa service lakini zinahujumiwa baada ya muda mfupi. Kuna ukweli usiofichika kua CCM imetufundisha desturi ya kila mtu pamoja na DRs, wanasiasa nk kua wezi nchi hii - bora hizo mashine zingesimamiwa na mtu/kampuni binafsi lkn huduma kwa bei zilizopangwa na serikali plus 10% service charge apewe mwendeshaji. Huduma ikisua sua mtu anaondolewa mara moja.
Uongozi mzuri haupo hilo ndio tatizo kuu la nchi hii.
 
Aisee umeongea bonge la point,outsourcing,mashine za serikali mwendeshaji kampuni binafsi,viwango vikishuka you are out.
Jamani kama kuna kibosile wa wizara ya afya anasoma hii thread then mark this advice.
 
Jf is never boring.
(Source:The Boss)
 
jamani,yule mama alieondolewa coz of ule mgomo wa kwanza(nimesahau jina lake)c inasemekana amechukua machine ya kuchekia kidney(figo)ya pale muhimbili iliyonunuliwa na serikali na kupelekwa kwny hospitali yake!serikali inajua na imekaa kimya!unategemea ma dr wafanye nn?mfumo wa uongozi ni mbaya!hata aje nani hamna kitakachobadirika,unless tuondoe hii system.
 
Wewe ni mwana apolo bana wacha kutuhadaa!
 
jamani,yule mama alieondolewa coz of ule mgomo wa kwanza(nimesahau jina lake)c inasemekana amechukua machine ya kuchekia kidney(figo)ya pale muhimbili iliyonunuliwa na serikali na kupelekwa kwny hospitali yake!serikali inajua na imekaa kimya!unategemea ma dr wafanye nn?mfumo wa uongozi ni mbaya!hata aje nani hamna kitakachobadirika,unless tuondoe hii system.
 
...Hivi noja nikuulize maswali machache,ingawa najua napoteza muda kwa kukuluiza sabu sizani kama utakuwa na majibu ya kueleweka,
1) Umeme unaongelea ni upi uliopo Tz kiasi kwamba wakigoma au kutogoma itakuwa na athari kwa wananchi ambao labda kila siku wana uhakika wa kupata umeme na hawajui maana ya kukatika kwa umeme!!!??
2) Mitambo ya anga iliyonayo Tz ya kueleweka iko wapi wakati hiyo airport yenyewe ni kama kituo cha mabasi tuu!!!??Ushaona airport??
Najua unatambua wazi kuwa watu duniani wako tofauti,umuhimu wao uko tofauti na kamwe hawatukuja kulingana,na hii itakuwa hivyo hivyo hata kwenye mishara yao pia!!!??
ILA KWAKUWA UNAONEKANA UNAPENDA SANA STRORY ZA ''ANUS ILIYOGOMA'',sina haja kujua kuwa watu huwa ''MIENENDO AU AKILI'' zao huwa zinabadilika na kuwa sawa na vile vitu wanavyovipendelea au kuvitukuza maishani mwao,nazani aliyeandika hapo si wewe bali ''HUYO AN--US''.

kaaaaaaaaazi kweli kweli.....heri yetu sisi ambao tushajizeekea,i fear for the Tanzania of tommorow,God forbid!
 
Mwambie aende jukwaa lake la mambo ya ngono mkuu, kaingia choo cha kiume.
 
Ni pesa ndoo inacontrol kila kitu siku hizi mambo ya utu hamna tena
 
Nina uhakika na kitu kimoja tu!
Tumekuwa watumwa katika nchi yetu huru.
Hatuna haki, na kunyanyaswa ndo tunaona haki yetu.
 
jamani,yule mama alieondolewa coz of ule mgomo wa kwanza(nimesahau jina lake)c inasemekana amechukua machine ya kuchekia kidney(figo)ya pale muhimbili iliyonunuliwa na serikali na kupelekwa kwny hospitali yake!serikali inajua na imekaa kimya!unategemea ma dr wafanye nn?mfumo wa uongozi ni mbaya!hata aje nani hamna kitakachobadirika,unless tuondoe hii system.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…