Watanzania wenzangu...

sijui hata kinaitwaje, ila kuanzia mwezi nadhani wa kumi mwaka jana hakifanyi kazi, sijui ilikuwaje.

Tukaambiwa matengezo yatafanyika March mwaka huu hola, ngoja J3 nikacheki tena.

Kile kipimo Kongosho, kinaitwa bone scanner, ni kwa ajili ya kuweza kugundua saratani imesambaa kiasi gani kwenye mifupa
 
Last edited by a moderator:

wewe unapotosha nani amesema taaluma fulani ni bora kuliko nyingine
taaluma zote zinategemeana lakini haimaanishi kuwa ndio msifanye juhudi za kuboresha huduma......
Yaani umeridhika kulala chini hospitalini
huyu mgonjwa anaharisha damu wewe una malaria mnashea godoro chini ,melala
na uwezo wa kuboresha nchi yetu inayo
kama wewe si mmoja wa wanao iba uchumi wa watanzania basi mawazo yako yananitia kichefuchefu kama ni mwizi basi una haki ya kuandika haya
 
na mwaka huu kina kalumanzila watajenga maghorofa.
 
ndo maana Kambarage wa Burito alijisemeaga..'argue don't shout',
Mazee hivi ili u drive in point lazima umdhalilishe mtoa mada?
Anyway enjoy your weekend.
 
sijui hata kinaitwaje, ila kuanzia mwezi nadhani wa kumi mwaka jana hakifanyi kazi, sijui ilikuwaje.

Tukaambiwa matengezo yatafanyika March mwaka huu hola, ngoja J3 nikacheki tena.
Kongosho,kumbe ukiwa ubaazi huu unakuwaga na adabu eh?
 
Last edited by a moderator:
Hivi hayo maandamano yao ya J'3 yatapita njia zipi? Yatakatiza Manzese?
 

Asante

Ila mimi nimepeleka watu wawili, mama mzazi na mjomba kwa ajili ya MRI na CT scan. Mbona nilipiga kama kawaida? Ina maana Muhimbili ipo mara mbili au?
 
Bishanga,
umesahau bila kutoa cha juu hivyo vifaa utasikia tu kuwa ni vibovu.....
 
Last edited by a moderator:
Asante

Ila mimi nimepeleka watu wawili, mama mzazi na mjomba kwa ajili ya MRI na CT scan. Mbona nilipiga kama kawaida? Ina maana Muhimbili ipo mara mbili au?
yote ni kushukuru Mungu,angalau umepata huduma. Pole na kuumwa.
 

Kutibu huu ugonjwa wote ni kutumbukiza the right vote in that ballot box. kinachonishangaza hawa hawa wanaoteseka na hii regime ndo hawa hawa wanosahau in 5 years. Mtanzania ana kawaida ya kutunza kumbu kumbu kwa 4.5 years halafu anafuta everything anajaziwa tena pumba kwenye memory yake after being flashed completely. Kuna maeneo kwa miaka 50 wamekuwa wakiahidiwa huduma na mpaka sasa ni mchakato. upembuzi yakinifu, mipango,majadiliano, and all ****ing words they use yet pipo listen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…