nini sasa hujaelewa hapo,rudia kusoma threadKuwa makini na toa taarifa sahihi ct scan mnh ni lak 1.7 na ni mbovu mda mrefu , mashine moja inahudumia nchi nzima haifanyiwi service itadumu vipi???
I always wonder,hivi mhando na trupu lake la tanesco wakiamua kugoma na kuzima mitambo mtera itakuwaje? Dawasco nao wakigoma na kuzima mitambo ruvu chini itakuwaje? Na staff wa huduma za anga wakizima mitambo kisa haina quality itakuwaje? Na zima moto waki down tools kisa magari mazee je? For that matter hata wazoa taka darisalama waki down tools je?Bishanga acha wote waondoke, MUNGU atajua cha kufanya ni bora tuanze na Wazalendo wenye moyo wa kuijenga nchi sio hawa wanaotaka maslahi kwanza.
Kwanza mm mtu wa kijijini huko Muhimbili sitafika kwani ni 0.03 ya Watanzania milioni 45 ndio wanaofika hapo, kwa hiyo hata hizo mashine wakiziCollapse sisi tutavuna na miti shamba ya mababu tutatumia
Kwa ufupi hao MaDr waresign labda Nchi itatulia maana hata hayo maandamano ya j3 hayana tija kwani FFU wanajifua nao wanatamani huo mshahara wa 7,7m au nao wagome wanashindwa
Sina tabia ya kufungua nyuzi jukwaa la siasa (JLS), anga zangu ni mmu na chi chat.
Lakini katika hili la hospitali ya muhimbili kwa kuwa naijua vyema naomba niseme haya yafuatayo:
1.MRI ( magetic resonance imaging):
Mashine hii muhimbili ipo,gharama za kipimo ni sh 120,000.-
Ukienda agha khan,regency na hindu mandal unapigwa sh 540,000.- kwa kipimo.
2.CT scanning:
Muhimbili tsh 80,000.-
Ukienda agha khan,regency na hindu mandal unapigwa sh 360,000.-
3. Kidney dialysis:
Hiyo ndo usiseme.
In short,vipimo hivi day in day out ukienda muhimbili unaambiwa vimekufa, nenda agha khan,hindu mandal na regency,same doctors hao hao wa muhimbili wana handle vifaa hivi private hospitals na kutoa majibu kwa gharama kubwa,mnyonge inabidi augulie tu cant afford.
Kila kukicha technians from Phillips company Uholanzi wanakuja TZ kurekekibisha mashine hizi muhimbili na zinakuwa ok,wakitoka tu zinakufilia mbali, patients wanaendelea wenda private hospitals,doctors wanalalamika vifaa duni.
Tutafika kweli?????
Mkuu you are falling short hapa ulitaka ku-suggest nini?. Kwamba madaktari wana-sabotage vifaa vya muhimbili? na kama ni kweli kwa nini wafanye hivyo?. Sija-dismiss point yako ila ninachojua ni kuwa vifaa vingi vya utabibu huwa vina working duration, sasa kama unacho kimoja na kukifanyia overwork na wakati huo huo hakuna matengenezo mpaka mwaka upite kama ulivosema watu wa Phillips ndiyo huwa wanakuja huoni kuwa ni tatizo la serikali?
Ccm your tired!
bwana bishanga haya ni mapambano yasiyo na tija mnayojaribu kurefusha bila kutafuta ufumbuzi. the government tries to deceive the aggrieved in this saga by using the weaked people like you whome without forcing me i wanted not to call. a doctor is not by law prohibited to own da personal enterprise so as to sustain his subsistence. you have to advise the gvt not to keep beguiling citizens and repudiating the constructive views from citiens and engulfing the views of the weaked like you. obagambile ebintu byatama.Sina tabia ya kufungua nyuzi jukwaa la siasa (JLS), anga zangu ni mmu na chi chat.
Lakini katika hili la hospitali ya muhimbili kwa kuwa naijua vyema naomba niseme haya yafuatayo:
1.MRI ( magetic resonance imaging):
Mashine hii muhimbili ipo,gharama za kipimo ni sh 120,000.-
Ukienda agha khan,regency na hindu mandal unapigwa sh 540,000.- kwa kipimo.
2.CT scanning:
Muhimbili tsh 80,000.-
Ukienda agha khan,regency na hindu mandal unapigwa sh 360,000.-
3. Kidney dialysis:
Hiyo ndo usiseme.
In short,vipimo hivi day in day out ukienda muhimbili unaambiwa vimekufa, nenda agha khan,hindu mandal na regency,same doctors hao hao wa muhimbili wana handle vifaa hivi private hospitals na kutoa majibu kwa gharama kubwa,mnyonge inabidi augulie tu cant afford.
Kila kukicha technians from Phillips company Uholanzi wanakuja TZ kurekekibisha mashine hizi muhimbili na zinakuwa ok,wakitoka tu zinakufilia mbali, patients wanaendelea wenda private hospitals,doctors wanalalamika vifaa duni.
Tutafika kweli?????
Bishanga acha wote waondoke, MUNGU atajua cha kufanya ni bora tuanze na Wazalendo wenye moyo wa kuijenga nchi sio hawa wanaotaka maslahi kwanza.
Kwanza mm mtu wa kijijini huko Muhimbili sitafika kwani ni 0.03 ya Watanzania milioni 45 ndio wanaofika hapo, kwa hiyo hata hizo mashine wakiziCollapse sisi tutavuna na miti shamba ya mababu tutatumia
Kwa ufupi hao MaDr waresign labda Nchi itatulia maana hata hayo maandamano ya j3 hayana tija kwani FFU wanajifua nao wanatamani huo mshahara wa 7,7m au nao wagome wanashindwa
Mkuu achana nao hao jamaa ambao ni vipimbi vya taaluma.Waitu washobya,kila kitu si vyema ukakiamulia kwenye prism hiyo,wakati mwingine weka 'siasa' pembeni na tuangalie uhalisia wa maisha yetu ya kila siku.
Wamiliki wa agha khan,regency na hindu mandal unawafahamu? Do you know nini kinaendelea nchi hii katika industry ya huduma ya afya?