Watanzania wengi wanapenda kuwa Usalama wa Taifa.

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,648
75,732
Hata vijiweni tu anzisha mada ya Usalama wa Taifa utaona kila mmoja atakavyotiririka. Hapa kila mmoja atakuwa na aidha jamaa, ndugu au jirani ambaye ni Usalama wa Taifa.

Kila mmoja anataka kuwa Usalama... Sijui ni kwasababu ya kuishi kwenye comfort zones zetu! Kwasababu ni kazi ya Siri basi wengi wanadhania ndiyo Bora. Au kwasababu tunapenda kuonekana miamba kwa wengine!

Diwani yametokea ya kumtokea hapa jukwaani ikawa mshikemshike... kila mmoja yupo jikoni. Baada ya taarifa hii ni nyingine. Wengine wapo Makwao huko Nanjilinji ila anajua kinachoendelea Ikulu.

.............................................................
 
Watanzania wengi Wana DNA za Umbeya, kutafuta SIFA na kupenda ngono.

Ndio maana kuanzia Media mpaka MITANDAONI, watu wanaojua kubuni tabiri tabiri, kujifanya wanajua Nini kinaendelea sehemu fulani ni wengi.

Vitu Kama, Za ndaaaani kabisa .,....vina wafuasi wengi.

Pili, Watu wengi sana Wana imagination za ajabu sana kuhusu TISS Kwasababu shughuli zao ni siri. Na wengi wamekuwa wakiwafikiria kwa makubwa sana kuliko uhalisia.

Binafsi, nimewahi kuwa mlinzi, lindo nililokuwepo tulikuwa tunalinda na hao TISS enzi za Magu.

Mambo mengi yanayozungumzwa kuhusu TISS kiuwezo hayana uhalisia
 
Kuna jamaa yangu mmoja namweshimu Sana.Siku moja tupo Barabarani V8 in namba plate ya UT ,akaanza stori zake za kiwaki "Hii kazi ya usalama wa taifa Ni kazi ninayoikubali sana,naona wajomba wapo mzigoni. ". Nikamjibu siku nyingine ukiona namba plate imeandikwa UT basi tambua hiyo ni UHAMIAJI TANZANIA. Kuanzia hapo ukimya ukatawala Kama dakika 3.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom