Watanzania wengi tu wanaumwa ugonjwa wa Mwakyembe - Madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wengi tu wanaumwa ugonjwa wa Mwakyembe - Madaktari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by buckreef, Mar 21, 2012.

 1. b

  buckreef JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading"]Mwakyembe illness common in TZ: doctors
  [/TD]
  [TD="class: buttonheading, align: right"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]By Polycarp Machira
  The Citizen Reporter
  Dar es Salaam. The disease that deputy minister for Works Dr Harrison Mwakyembe has been battling for almost six months, is fairly widespread in Tanzania, but is only now becoming a subject of public discussion.

  Medical experts say that on average, between two and five people seek treatment for scleroderma at clinics in Dar es Salaam Region at three-weekly intervals, which they suggest represents a countrywide prevalence trend .

  Up to last Monday when Dr Mwakyembe disclosed that he was suffering from scleroderma ‑ a chronic condition that causes inflammation and thickening of the skin – knowledge or awareness of the disease was confined to a relatively small circle of doctors, medical students, patients and their relatives.

  It has now become a subject of wider public interest in the wake of the controversy that has marked the deputy minister’s health status, triggered, primarily, by allegations that he had been poisoned by individuals that neither he nor political allies who support the theory, have named.

  The controversy persists, because simultaneous to telling journalists at a briefing session in the city that doctors at Apollo Hospital in India had diagnosed ‘popular scleroderma’ as the ailment that was troubling him, he called on the government team investigating the issue to speed it up. Medical doctors who spoke to The Citizen yesterday confirmed that the disease was fairly common in the country, but noted that its effects spread slowly.

  Dr Isaac Maro of the Infectious Diseases Centre in Dar es Salaam confirmed that many Tanzanian are suffering from the disease, whose causes health experts had not established.“If you open a skin clinic in this city, for example, at least three people will seek treatment for scleroderma within two to three weeks,” he said.

  The disease is an autoimmune, rheumatic, and chronic affliction that affects the body by hardening connective tissues. Literally, “scleroderma” means “hard skin”.

  It is classified as an autoimmune disease, which means that a person’s immune system works against itself. Its severity varies from person to person: it can be a mild annoyance or it can cause significant clinical problems.

  For others, it can become life threatening. Dr Maro cited the case of a scleroderma patient he had attended over the past two years, but whose condition didn’t seem serious. Doctors say treatment of the disease takes a long time, and that, if it is not administered at early stages, the disease affects internal body organs like lungs.

  Another skin consultant doctor volunteered to comment on the disease but on condition of remaining anonymous, as a safeguard against being associated with the controversial dimension to Dr Mwakyembe’s illness. He said several people suffering from the disease attended his clinic in Dar es Salaam, adding that, it was afflicting many others all over the country, but very few of whom sought treatment, especially those living in villages. Scleroderma starts by affecting hands and face, but seldom affects hair; and sometimes penetrates internal organs at advanced stages.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kumbe ni ugonjwa wa kawaida tena unaotibika hapa bongo? Sasa kwa nini wakampeleka Dr Mwakyembe India? Achilia mbali wanayosema watu wengine, lakini Dr Mwakyembe mwenyewe anasemaje kuhusu ule waraka wake alioundika mara baada ya taarifa ya DCI Manumba kuhusu ugonjwa wake?

  Ukiwa mwongo budi uwe na kumbukumbu nzuri!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mimi nimechoka na habari za huyu Mwakyembe, coz amekuwa kama popo..Ndege si ndege, Mnyama si mnyama!
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ahh token zenu na kamba zenu.....so alichoumwa mwakyembe ni easy kiivo?y india then?
  ahh mi stak:hand::A S 13:
   
 5. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,705
  Likes Received: 2,388
  Trophy Points: 280
  If you keep compiling script from different script writers to mwakyembe's movie you come up with a big bull -shuzi!
   
 6. M

  Mkandara Verified User

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Jamani hii fedha mbaya sana.. Huyu daktari mkubwa nchini anaweza kweli kusema maneno kama haya?.. Kama ni ugonjwa wa kawaida sii ina maana diagnosis yake ingekuwa rahisi kwao mbona walishindwa hadi imekwenda gundulika India?..Utaweza vipi kusema ni ugonjwa wa kawaida wakati mwanzo dalili zote zilijitokeza wakashindwa kuugundua kitu ambacho ni cha kawaida.
   
 7. b

  buckreef JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkandara,
  Hawa madaktari hawajasema ni ugonjwa wa kawaida, wamesema ni common kwa maana watu wengi wanaumwa ugonjwa huo.

  Kama ni kweli basi hii ya Mwakyembe isaidia kutangaza ugonjwa huu ili hata madaktari wa wilayani wajue namna ya kuutambua na kutibu badala ya watu kuumia hasa kwa huko wilayani.

  Hata ukisoma maelezo ya ugonjwa huo kwa nchi kama USA wanasema hivyo hivyo kwamba ni common na ukiwahi unaponyeka.
   
 8. k

  kuzou JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tumemshambulia buuuureeee manumba,inawezekana yupo sahihi
   
 9. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu, mtoa mada atupe na picha halisi za hao wagonjwa wake ili nasi tunufaike na elimu hii.
  Madaktari wengine hapa bongo feki sana , maneno mengi vitendo hakuna.
  Kwa taarifa nilzo nazo ni madaktari bingwa waliomshauri Dr Mwakyembe awahi haraka sana India kama anyapenda maisha yake
  Angetibiwa hapa nchini,jopo la madaktari lingeishia kujadili ugonjwa huo kama kikao cha chama
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Oh really?
   
 11. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hakuna hata cha kushangaza kuwa kenda kutibiwa India. Zitto Kabwe alienda kutibiwa kipanda uso na malaria India wakati Tanzania ni common na yanatibika
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  @buckreef, hapo kwenye red ndipo nadhani memory chip ya hao madaktari inasuasua! Kwa akili ya kawaida kama ugonjwa ni 'common' maana yake wanakumbana nao mara kwa mara, hivyo wanaujua. Wakimuona mgonjwa mwenye dalili fulani wanaweza kusema yule anaugua ugonjwa fulani. Sasa kiliwashinda nini kugundua tatizo la Dr Mwakyembe mpaka apelekwe India, kama kweli ni common? Walipitiwa? Hata hivyo soma tena waraka wa Dr Mwakyembe mwenyewe hapo ndipo kitanzi kimezama!

  Naungana na wale waliokinai na hii kombolela ya Dr Mwakyembe. Huku ni kupoteza muda.
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aisee!
   
 14. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  MwaKyembe alikwisha jiaminisha kuwa kawekewa sumu hata angeambiwa ni ugonjwa unaowapata watu hapa Tanzania sidhani kama angeliridhika [Hatuna hata uhakika kuwa hakuwahi kuwa diagnosed hivyo awali]
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mimi sijawahi kukutana na mtu aliyebabuka kama alivyobabuka Mwakyembe zaidi ya wale wenye utangoutango.
   
 16. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Mwakyembe ni kichaa kabisa, tangu sakata lake lianze na maelezo aliyotoa kuhitimisha sakata lake, mimi nimejilidhisha kuwa Mwakyembe ni mwendawazimu wa kutupwa na ana njaa kali sana. Hivyo anatakiwa kushitakiwa yeye na rafiki yake Sita kwa kuwazushia watu uongo.
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  I'm so sick of this Mwakyembe guy. He needs to go sit his azz down somewhere and lay low.
   
 18. MANI

  MANI Platinum Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  You are right teacher. Belief is another type of disease.
   
 19. b

  buckreef JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  FJM,
  Ni kama kuna daktari alisema ni ugonjwa wa ngozi lakini daktari mwingine akasema ni kama ni matokeo ya sumu.

  Inategemea alikuwa anatibiwa na nani pia kama mtu hujawahi kuona ugonjwa ni rahisi kuamini lolote.

  Hapa sasa madaktari wajifunze na kutumia ugonjwa wa Mwakyembe ili kutoa elimu kwa watu wengi zaidi.

  Mimi mwenyewe nilikuwa najua huu ugonjwa ni wa ajabu na huenda ni sumu kweli. Lakini ukipita internet unagundua upo muda mrefu na watu wengi wanakamatwa nao. jambo usilo lijua na kama usiku wa kiza. Kwa kutaja ugonjwa tu wamewafungua watu wengi.

  Kwa hali ilivyokuwa hao madaktari wetu hata wangetuambia kwamba ni ugonjwa wa ngozi tusingewaamini. Mpaka wahindi wamesema ndio kila mtu anafunguka macho.
   
 20. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Baadhi ya wagonjwa wa mwanzo mkoani Kagera waliokufa kwa UKIMWI walikua wanapata matatizo ya ngozi,kujikuna sana,ngozi kutoka unga,kunyonyoka nywele nk!
   
Loading...