Mkuu wangu mbona unachanganya lugha wewe nambie hiyo common uloitumia kwa kiswahili utasema nini? au neno kawaida wewe unalichukulia vipi ktk magonjwa..Dr. kaongezea kusema:- "If you open a skin clinic in this city, for example, at least three people will seek treatment for scleroderma within two to three weeks," Sasa walishindwa vipi kutambua mwanzoni..Mkandara,
Hawa madaktari hawajasema ni ugonjwa wa kawaida, wamesema ni common kwa maana watu wengi wanaumwa ugonjwa huo.
Kama ni kweli basi hii ya Mwakyembe isaidia kutangaza ugonjwa huu ili hata madaktari wa wilayani wajue namna ya kuutambua na kutibu badala ya watu kuumia hasa kwa huko wilayani.
Hata ukisoma maelezo ya ugonjwa huo kwa nchi kama USA wanasema hivyo hivyo kwamba ni common na ukiwahi unaponyeka.