Watanzania wengi sana wajitokeza kumuaga Sanga (USA)!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Watanzania waishio USA wakimuaga marehemu Sanga aliyeuawa huko USA, mwili wake unategemea kuwasili jijini Dar yetu Jumanne kwa mujibu wa Blogu ya Michuzi!

13103323_1071146282959018_6018552463561558761_n.jpg

IMG_0543.JPG


IMG_0634.JPG



Lakini chonde chonde nawaomba msinisimishe na kuniweka kwenye foleni kwa kugonjea msafala wenu wa ktk Uwanja wa ndege hapa Dar upite, hapo sitawaelewa!


,,* Pumzika kwa Amani † " !
 
Mi kimeniumiza saana kitu cha kuwaweka watoto kwenda Kuuaga mwili wa marehem kwa style ile ya live.
Ni hatari saana kisaikolojia ile,at least wawe at age of 15 - 18.
Hatari,hatari,hatari saana kwa watoto



Usisahau kwamba Mwafrika huwa habadiliki, na siku zote Mwafrika hujifunza Kiingereza tu lkn akili hamna!
Tukishajua Kiingereza basi tanafikiri kwamba kila kitu kimeisha, uwezo wa kufikiri na kuelewa mambo ni mdogo sana ingawaje wako nchi ambayo ni tajiri na iliyoendelea ndiyo maana utaona hapa kutwa wanashindana na misamiati migumu ya Kiingereza wakati Mzungu mwenyewe hawezi kufanya hivyo!
Hakuna Mzungu Mmarekani anayeweza kufanya walivyofanya, yaani kufungua sanduku la maiti na kuruhusu watoto wafanye hivyo, hivyo inabidi tu ukubali kwamba Mwafrika tunajifunza Kiingereza tu lkn akili hakuna!
Halafu wakifika Dar watataka wasindikwizwe na Askari na king'ora mpaka Makaburini na watu kusimamishwa na kuchelewa kazini!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom