Watanzania wengi sana wajitokeza kumuaga Sanga (USA)!

Au ndio hayo mapesa walikuwa wanakusanya walipoyapata wakaingia sauni kupigwa masopusopu ya nguvu kabla hawajashuka Bongoland!
mi mwenyewe nimeshangaa mbona wamejiremba hivyo utafikiri wanaenda kwenye sherehe...labda ndio utamaduni wa wamarekani huo
 
mi mwenyewe nimeshangaa mbona wamejiremba hivyo utafikiri wanaenda kwenye sherehe...labda ndio utamaduni wa wamarekani huo
Watu wetu wakiwa majuu wanaiga mabo mengine hata hayana maana na kusahau huku walikotoka mila zetu ni tofauti. Mbona picha zao za mwanzo zilionesha ni watu wa kawaida ila leo, duhh sopsop kinoma!
 
Naona Watanzania wengi wameenda kujionyesha msibani, kuuza sura
 
Kuna desturi ya kuvalisha maiti nguo na vitu alivyokuwa anapenda, Bibi yangu alizkwa kaburi na jembe lake kwa kuwa alikuwa anapenda sana kulima hata kama naumwa, akipata nafuu tu mnamwona na kijenmbe chake kwenda kwenye bustani yake ya mboga !!!
Mila zingine tuacheni nazo jamani.sasa kila mtu mkisema mumzike na kitu alichokuwa anakipenda ina maana mpenda malaya azikwe na malaya na mpenda pombe azikwe na pombe?mtu akishafariki biashara yake imeisha hapa duniani.
 
Utafikiri hawajafiwa, yaani kweli Senga anatisha. Au wanaigiza?

Mimi kibongo bongo ningekua nimeumuka kwa kulia..sura haijapakwa lotion wala wanja..nna dera langu na kilemba kichwani pemben nna khanga iliyolowa machozi...MUME c mchezo
But huko majuu watu hawanaga kulia lia naona...
Au ndio ule msemo kuwa MSIBA NI SHEREHE YA MWISHO YA MAREHEMU DUNIANI full kujimwager
 
Ngoja washuke Bongo wajionee wenyewe. Hivyo vimpododo vyote vitasawajika mara wafikapo vingweta.
 
Usisahau kwamba Mwafrika huwa habadiliki, na siku zote Mwafrika hujifunza Kiingereza tu lkn akili hamna!
Tukishajua Kiingereza basi tanafikiri kwamba kila kitu kimeisha, uwezo wa kufikiri na kuelewa mambo ni mdogo sana ingawaje wako nchi ambayo ni tajiri na iliyoendelea ndiyo maana utaona hapa kutwa wanashindana na misamiati migumu ya Kiingereza wakati Mzungu mwenyewe hawezi kufanya hivyo!
Hakuna Mzungu Mmarekani anayeweza kufanya walivyofanya, yaani kufungua sanduku la maiti na kuruhusu watoto wafanye hivyo, hivyo inabidi tu ukubali kwamba Mwafrika tunajifunza Kiingereza tu lkn akili hakuna!
Halafu wakifika Dar watataka wasindikwizwe na Askari na king'ora mpaka Makaburini na watu kusimamishwa na kuchelewa kazini!
Jiamini kama ulivyo usitukuze mtu bali Mungu wako pia usimkosoe kwa alivyopanga
 
Mi kimeniumiza saana kitu cha kuwaweka watoto kwenda Kuuaga mwili wa marehem kwa style ile ya live.
Ni hatari saana kisaikolojia ile,at least wawe at age of 15 - 18.
Hatari,hatari,hatari saana kwa watoto
Hao watoto wako ulimwengu wa kwanza, usiwaweke kapu moja na wale third world countries! By the way, have you ever noticed the acts of Sasha and Maria Obama?
 
Ngoja washuke Bongo wajionee wenyewe. Hivyo vimpododo vyote vitasawajika mara wafikapo vingweta.
Tena dodoma..kila mtu atawashangaa
By the way watu wenye pesa bongo ndio style yao siku hizi pia...wanapiga vinguo vyao vya church vyeusi basi no kulia lia lol..no vikanga vyenu
Msiba mmoja nilienda mdada alifiwa na babake kaja kavaa bonge la mini msibani..paja zenyewe kavuuuu nyeusiii
Ukiuliza nini SHE LIVES IN AMERICA and married to the so called MUZUNGU ..wtf.?? Peleka uamerica wako huko huko ukija tz vaa vizr tena msiba wa dingi.??
 
Hao watoto wako ulimwengu wa kwanza, usiwaweke kapu moja na wale third world countries! By the way, have you ever noticed the acts of Sasha and Maria Obama?

Lakini Wazungu hawako hivyo! Wazungu hawaruhusu watoto kuangalia maiti hivyo, kwanza hata makaburini tu Wazungu watoto hawaendi!

Ndiyo maana kila siku mnaambiwa mnajaribu kuwaiga Wazungu lkn kwa bahati mbaya hamuwaelewi!
Wazungu wako simpo sana na ndiyo maana mnaonekana kituko tu mbele ya uso wa Dunia kwa maana hakuna mnako fiti, kwetu Afrika hampo kwa maana hamkutaki na kwa Wazungu pia hampo kwa maana hamuwaelewi na hawawataki!
 
Lakini Wazungu hawako hivyo! Wazungu hawaruhusu watoto kuangalia maiti hivyo, kwanza hata makaburini tu Wazugnu watoto hawawendi!
Huyo yawezekana hajawahi kuwaona wazungu walivyomakini katika masuala ya msiba. Wakiona vifilamu wenyewe wanajua ndio wafanyavyo, kumbe wenyewe hawaruhusu kabisa jambo kama hilo.
 
Watanzania waishio USA wakimuaga marehemu Sanga aliyeuawa huko USA, mwili wake unategemea kuwasili jijini Dar yetu Jumanne kwa mujibu wa Blogu ya Michuzi!

13103323_1071146282959018_6018552463561558761_n.jpg

IMG_0543.JPG

IMG_0634.JPG

Lakini chonde chonde nawaomba msinisimishe na kuniweka kwenye foleni kwa kugonjea msafala wenu wa ktk Uwanja wa ndege hapa Dar upite, hapo sitawaelewa!

,,* Pumzika kwa Amani † " !
Kuna midoli hapo miwili uso mweupe mikono tiiiii kama Mimi!
 
Ni hatari sana ,kwa watoto wadogo kuaga maiti,ila hao inawezekana wana taka waonekane ni wa tofauti na watanganyika wa kawaida, maana namna walivyo jiremba ,kama sio msiba kabisa ,au wana igiza vile
 
Lakini Wazungu hawako hivyo! Wazungu hawaruhusu watoto kuangalia maiti hivyo, kwanza hata makaburini tu Wazungu watoto hawaendi!

Ndiyo maana kila siku mnaambiwa mnajaribu kuwaiga Wazungu lkn kwa bahati mbaya hamuwaelewi!
Wazungu wako simpo sana na ndiyo maana mnaonekana kituko tu mbele ya uso wa Dunia kwa maana hakuna mnako fiti, kwetu Afrika hampo kwa maana hamkutaki na kwa Wazungu pia hampo kwa maana hamuwaelewi na hawawataki!
Kupitia JF ndio nimegundua kumbe wewe sio Mwafrika, CCM uliingiaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom