wewe ndo mvivu unaacha kufanya kazi unaweka vidole vyako kwenye kiboard nakuanza kuandika upupu, kwa taarifa yako watz ni wachapakazi nenda kanywe maziwa ya mama maana inaonekana hujakuwa bado
ni wavivu wa kitu gani?
Mie nna miaka 28, nina watoto 8.
Nieanza kujifungua nikiwa na miaka 20
bado mimi ni mvivu wa kuzaa?
Mhhhhhhhh! Kama uyasemayo ni kweli, nahisi hautakua binadamu .
its true,mie ni mvivu na ni mtanzania.....kama leo nimeamka nimepata breakfast huyooo nikaishia kny laptop kitandani lol,i wish i was more active.
MKUU tena huko kazini ndio usiseme.......Yo Yo nitakubaliana na wewe on my experience na kwenye makampuni niliyofanya kazi watanzania tuna excuses nyingi sana mtu akiumwa kidogo tu haji ofisini hapo kuna visingizio vya kufiwa.
Utasikia nimefiwa na mama wa ubatizo naenda kuzika ohoo sijui mtoto wa shangazi kafariki...
wana IQ ndogo sana
msisitizo hapo kwenye sana
Ni swali tu......
Arifu wakenya ndio wanaofundisha watoto wenu kwenye shule mnazoziita za kimataifa...ili waweze kufikiri vizuri....Mkuu toka uchukue uraia wa Kenya naona unafikiri pia kama wakenya...