Maisha ya Wakenya wengi wasio katika mfumo wa ufanyaji kazi serikalini na hata viwandani ni ya ovyo sana ,na umaskini mukubwa huwezi kulinganisha maisha ya Kibera,Pumwani na maisha ya aina yeyote hapa Tanzania,Watanzania tuko mbali sana hapa kila mtu anakula kwake kila mtu kwa njia moja au nyingine ana shamba na ana kwao hali ambayo si laisi nchini Kenya,Tanzania na Kutokujua Kiingereza imetoa viongozi wa Ngazi za Jumuiya ya Kimataifa kuliko hao wakenya Kama Migiro,Tibaijuka,Salim,Salim na wengine wengi tuu kwa hiyo hii Tabia ya Watanzania kujishusha wanaposikia Wakenya inanikera sana tena sana,jamani lazima tuanze kujifunza kwama katika Africa Mashariki Lazima Watanzania tuwe viongoizi katika nyanja zote kiuchumi,kielimu,utamaduni,ustawi,na maendeleo tubadili fikra potofu,nchi yetu kubwa na tajiri sana,haya hima tuamuke