Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,450
- 6,496
Walishawai kushika serekali TRA mapato yote wanapelekea serekali ambayo iko chini ya ccm tokea 1961 uhuruHao cadema miaka yote hayujaona wakitatuwa kero hayta moja kwenye majimbo yao.
Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.
Usikate tamaa Mkuu Aluta Continua.Kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvu,dawa Yao ni kuiba Mali zao uku wakiwa wanakosa huduma muhimu za kijamii.
Hii ndo sababu ya mimi kugoma kuandamanaKumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvu,dawa Yao ni kuiba Mali zao uku wakiwa wanakosa huduma muhimu za kijamii.
Ukijua kusoma na kuandika vizuri kiswahili utaelewa anachomaanishaHao cadema miaka yote hayujaona wakitatuwa kero hayta moja kwenye majimbo yao.
Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.
Watanzania wanakatisha sana tamaaUsikate tamaa Mkuu Aluta Continua.
Usikate tamaa Mkuu safari ni hatua.Watanzania wanakatisha sana tamaa
kwahiyo wanafiki wengi walibaki nyuma ya keyboard humu JF kwamfano fulani na fulani....Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima
Ndo katika yale matatizo matatu ya nyerere aliyoyasema ujinga, umaskini na maradhi inatakiwa liongezeke la nne unafki
Wanafki ni wale wanaoponda maandamano alafu mda huo huo wanalalamika na kuiponda serekalikwahiyo wanafiki wengi walibaki nyuma ya keyboard humu JF kwamfano fulani na fulani....
yaan wanahanasisha watu halafu wao hawajitokezi bila sababu...
Na pia walisema tundu lissu hatakuwepoUkweli.walisema mbona Mbowe hayupo front na watoto wake,Jana walikuwepo wote
Wanaopuuza maandamano ya CDM nao waandae maandamano waeleze sababu za kupuuza kwao!Hao cadema miaka yote hayujaona wakitatuwa kero hayta moja kwenye majimbo yao.
Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.
Bure kabisa wewe!Hao cadema miaka yote hayujaona wakitatuwa kero hayta moja kwenye majimbo yao.
Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.
Kwamba mbunge anatatua kero ya wananchi majimboni? Kwenye wajibu wa Mbunge kuna kipengele ya kutatua kero jimboni?Hao cadema miaka yote hayujaona wakitatuwa kero hayta moja kwenye majimbo yao.
Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.
Inaonyesha wewe mwenyewe huna msimamo kapu moja!Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima
Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvuila ila kamwe siwezi wabeza waliondomana kwa namna yeyote ile
Ila ajabu kuna watu wanawabeza chadema mara hawakua na watu wengi walikua wachache, bodaboda walikua wachache na maneno mengine ya kashfa
Ila watu hao hao wanaobeza maandamano ya jana utawakuata kwenye nyuzi nyingine hapa hapa jamiiforum wanailalamikia serekali sana mara vitu vinapanda bei, mara huduma kwenye ofisi za serekali zimekua mbovu, mara kuna upendeleo wa ajabu kwenye baadhi ya taasisi za serekali
Mtu kama huyu anayebeza maandamano alafu mda huo huo analalamika ugumu wa maisha anaonyesha jinsi alivyokua mnafki na hii ndo tabia ya watanzania wengi
Hata kwenye maisha ya kawaida unaweza ukawa unampigania sana mtu ila akienda upande wa pili anakuponda vibaya mno
Ndo katika yale matatizo matatu ya nyerere aliyoyasema ujinga, umaskini na maradhi inatakiwa liongezeke la nne unafki