Watanzania wengi ni makauzu kwa nini?

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
3,246
5,756
Hivi watu wa hii nchi mbona ni makauzu na mabandidu sana? Kwa style hii ya kukutana na kila mtu amenuna tutafikia lengo kweli?

JANA NIMEKUTANA NA MAKAUZU WENGINE WAMEPAKIZA SPIKA KWENYE GARI ETI WANAHAMASISHA MAKAUZU WAKAJIANDIKISHE.

Huu ukauzu ni lini mtaacha aisee?
 
Hivi watu wa hii nchi mbona ni makauzu na mabandidu sana? Kwa style hii ya kukutana na kila mtu amenuna tutafikia lengo kweli?
JANA NIMEKUTANA NA MAKAUZU WENGINE WAMEPAKIZA SPIKA KWENYE GARI ETI WANAHAMASISHA MAKAUZU WAKAJIANDIKISHE....
Huu ukauzu ni lini mtaacha aisee?
Elimu, elimu, elimu! Ukiacha wachaga, wanyakyusa, wahaya, na wengine wachache, the rest ni makauzu
 
Miaka iliyopita wakati kama huu kila story ilikuwa ni uchaguzi. Ila kwa sasa hata kujiandikisha imekuwa ni upuuzi mkubwa kabisa.

Alafu wagombea wanaofahamika ni wa CCM tu. Waliosalia hawajulikani.
 
Sababu kuu.

1. Kuna utafiti unadai katika watanzania wanne, mmoja ni kichaa.

2.Tafiti pia zinadai Tanzania ni mojawapo kati ya nchi zisizo na furaha.
 
Siku zinasogea sana jamani!
Tupambane kufanya kazi kwa bidii, watatufuata huko huko watuandikishe!
 
Back
Top Bottom