Watanzania (wengi) ni evil!

Watanzania (wengi) ni evil!

Nimeumia sana, mtu mtoto wa miaka 5 kampeleka boarding school, kamkabidhi shuleni kaondoka mtoto analia lkn hajali anayeitwa mzazi kaondoka, hivi unawezaje hata kulala usingizi mtoto wako wa miaka 5 yuko boarding?
Shule chache sana za bording hapa Tanzania, hivyo watanzania wachache pia wanapeleka watoto wao katika shule hizo. Si kweli kuwa watanzania wengi ni evil
 
Unakimbilia wapi? Hujui kusoma kwa ufahamu? Kwani hawezi kutumia huu mfano wa mtoto kuonyesha kulivyo na njia nyingi za watanzania kuwa ''evils''?
 
Nimeumia sana, mtu mtoto wa miaka 5 kampeleka boarding school, kamkabidhi shuleni kaondoka mtoto analia lkn hajali anayeitwa mzazi kaondoka, hivi unawezaje hata kulala usingizi mtoto wako wa miaka 5 yuko boarding?
Utashangaa nikumbia kuwa kinamama ndiyo wenye tabia kama hii. Kuna mwanamke mmoja namfahamu alipeleka mtoto wake wa miaka minne.

Waligombana sana sana na mume wake kwani mwanaume alikuwa hataki apelekwe lakini mkewe ni mjeuri. Na hakuna sababu yoyote iliyofanya ampeleka bali tu alitaka awe free anaporudi kazini yaani asiwe na mtoto wa kumsumbua.
 
Nimeumia sana, mtu mtoto wa miaka 5 kampeleka boarding school, kamkabidhi shuleni kaondoka mtoto analia lkn hajali anayeitwa mzazi kaondoka, hivi unawezaje hata kulala usingizi mtoto wako wa miaka 5 yuko boarding?
Wazazi wengi hawaelewi huo umri ni muhimu Sana katika kujenga mahusiano na mtoto yaani bonding na kujenga mtoto kimaadili. MI nilishakataza... Hakuna mtoto kwenda boarding hadi afike SEKONDARI. Watoto wengi sikuhizi hawaheshimu wala kuwa penda wazazi bse hawajakuwa nao ktk kukua wanawaona strangers tu....na hili tatizo la maadili halitaisha kama wazazi hatutataka kuwa karibu na Watotot.
 
Back
Top Bottom