tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,318
Kila kona ya nchi hii hukosi kusikia malalamiko ya kero mbalimbali lakini ukizichunguza na kuzifuatilia kiundani kero hizo utakuta chanzo ni wanainchi wengi kfanya mambo yao kwa kutofuata sheria na taratibu zilizowekwa na mamlaka husika.
Kwanini Watanzania wengi hufanya mambo yao kwa kutofuata sheria na taratibu hali ambayo inasababisha kero kila kukicha?
Hali hii imechangiwa na nini, elimu duni, umasikini, kutojali tu, au ndiyo maisha yetu?