Watanzania wengi kunywa chai ya rangi inawezekana ni dalili ya umasikini

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,243
Reaction score
90,302
Kutokunywa chai ya maziwa kwa raia wengi na badala yake kunywa chai ya rangi zaidi inawezekana ni ishara mojawapo kubwa ya umasikini wa nchi yetu.

Sidhani kama watu wanakunywa chai ya rangi na mihogo, maandazi na vitumbua kwa sababu wanapenda tu au kwa sababu chai ya rangi ni tamu kuliko ya maziwa.
 
si kila anayekunywa chai ya rangi ni maskini wengine hawapendelei maziwa il wanawez kuafford 4 everyday
 
Back
Top Bottom