Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nawajua wengi waliopoteza kazi kwa kutokuelewa hii principle ya chain of command, wengi hufanya maamuzi ambayo hawapaswi kuyafanya au hufanya kazi ambazo hawajakuwa assigned kufanya!
Hivyo nawashauri siku zote fanya tu kile ambacho unatakiwa/ umeambiwa kufanya, kama wewe umeajiriwa kama Dereva endesha tu na usikusanye nauli kwani ni kazi ya kondakta au kwa mfano umeambiwa kulinda gari ya mtu usipande juu ya boneti, au ukipewa lifti usianze kufungua droo kwenye gari vivyo hivyo kazini siku zote uliza kwanza aliye juu yako kabla ya kuamua, na kama mkubwa wako wa kazi kaamua usilete ufundi wako wa kutaka kufanya vingine, utafukuzwa tu, hiyo ndiyo chain of command, ni muhimu kuilewa ukitaka kufanya unavyotaka anzisha kampuni yako...