Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,231
- 71,816
Deodorant ubaya wake nini?Deodorant sio nzuri kwa matumizi.
Muhimu mtu ni kuoga Kwa sabuni na kujisugua makwapani kwa povu jingi na kurudiarudia na kupaka mafuta hata kama ni ya kupikia.