Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Huwa nashangaa sana Upinzani siku zote kumnukuu Mlm.Nyerere, lkn wasichokijua labda ni kwamba kama Mlm.Nyerere angekuwepo wao wasingekuwepo, na kwamba Mlm.Nyerere angewamalizia mbali kwa maana hakupenda Upinzani, na hiyo demokrasia mnayoiongelea Tanzania imekuja baada ya Mlm.Nyerere kuwa hayupo, hivyo kwangu mimi kama Mpinzani kumnukuu Mlm.Nyerere, mnayonyesha kwamba ninyi ni stupid people na hamjui hata mnataka nini!
Kwa nini Kambona, Mapalala, Babu &Co. walienda kuishi uhamishoni kama Mlm.Nyerere alipenda Upinzani/demokrasia? Kwa nini Abdu Jumbe amefia house arrest Kigamboni?
Au labda ni lini mara ya mwisho Mpinzani alilazimika kwenda kuishi uhamishoni baada ya Mlm.Nyerere kuondoka?
Hivyo kila siku kumnukuu Mlm.Nyerere na kutuambia kwamba mnataka kuirudisha Tanzania ya Mlm.Nyerere, inanishangaza sana kwani inaonyesha kwamba hamuelewi hata mnachokiongelea, achilia mbali hata Historia ya nchi yetu yenyewe!