toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 5,850
- 10,286
Ni nadra sana zaidi ya sana mtz kushinda dv lottery hivyo haina impact yoyote iwepo au lah ila wangeisitisha nchi kama Kenya nadhani jamaa wangeandamana kama sio kuuana kabisa.
Wakitoa ushahidi watu wataumbuka vibaya mno.Watu hawaangalii kwa mapana swala hili.
watu wanadhan pompeo ni kipilimba π€£π€£π€£π€£π€£π€£, aisee me waliposema wanaushahidi ndio nimeogopa sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Acheni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi wapinzani acheni unyama unyanyasaji kwa wapinzaningoja tuone watumwa wa fikra wakishabikia ujambazi wa marekani,
Marekani ikisema demokrasia, ujue kuna taifa litaumizwa kwa vita na kuondolewa katika misingi yake.
Sote ni mashahidi wa namna kete ya Demokrasia ilivyotumika vyema na marekani kuvuruga mataifa mengine.
Lakini na wewe utambue kuwa tatizo sio sisi raia, ni misimamo na sera za viongozi.ngoja tuone watumwa wa fikra wakishabikia ujambazi wa marekani,
Marekani ikisema demokrasia, ujue kuna taifa litaumizwa kwa vita na kuondolewa katika misingi yake.
Sote ni mashahidi wa namna kete ya Demokrasia ilivyotumika vyema na marekani kuvuruga mataifa mengine.
Kwa sharti hili tupo sawa. Kasi yetu ya Maendeleo ni kubwa. Safi kabisa.Bahati nasibu hiyo hutoa visa kwa watu takribani 50,000 kutoka nchi zenye kasi ndogo ya maendeleo kila mwaka kuingia na kufanya kazi Marekani
Sasa mtapigwa pini misaada na biashara. Kama Zimbabwe vile. Mbona itakuwa balaa.
πππππ Hatari sana.Sheria huanza kazi ikipitishwa kwenda mbele, hairudi nyumba. So, kama ulicheza mwaka jana haikuhusu ila ni rahisi kupigwa na radi kuliko mtanzania kushinda dv lottery.
Yes,mimi sipo kwenye serikali ya Magufuli.
Wee nawe unavyosema "mta" utafikiri wewe ni mkigaliSasa mtapigwa pini misaada na biashara. Kama Zimbabwe vile. Mbona itakuwa balaa.
Mimi siombi mkopo WB.Wee nawe unavyosema "mta" utafikiri wewe ni mkigali
Yap. Hata USA unaweza lakini mambo yatakuwa magumu sana kwa waTz. Canada ni option nzuri zaidi for sure.Ina maana ndoto yangu ya kuenda Marekan imefia hapo sasa, am looking forward to Canada