simon mato
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 926
- 485
- Thread starter
- #101
Kama watachelewa kumpeleka huyu kasisi wa ufisadi basi Mimi nitaongoza maandamano ya amani mpaka kwenye ofisi ya mwakyembe ili kushinikiza huyu mtu aende pale kwa kuwa na yeye ni mteja Mzuri tuuh na amekamua mtaani vya kutosha haina budi akaonje na maisha ya Segerea!Now you are coming!!!Unayajua mengi hivyo umekuja kupima kina.