Mkaa wa mawe
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 5,055
- 7,496
Kila mtu anajali maisha yake na familia yake na ni wajibu wa mtu binafsi kutekeleza hivyo vitu.
Hivyo wanaofanya hivyo sio waoga bali wana akili.
Ukiangalia kwa makini faida ni ndogo kuliko hasara.
Na impact inaweza kuwa kubwa kwa wengine walio karibu na wewe. kuliko wewe mwenyewe na kisibadirike chochote.
Makondoo ni yale yanayofuata mkumbo wengine huku wakijua hao wengine wamejipanga na wala hawakukurupuka na wanajua wanachokifanya.
Maisha yako na maamuzi yapo mikononi mwako.