Watachukua Uraia wa nchi wanazoishi ili kukwepa kulipa kodi mara mbili.na hii inafanyika katika nchi nyingi mojawapo ni PHILIPINES mara warudipo katika nchi yao (HATA LIKIZO) wanapigiwa mahesabu pale airpot au border then wanalipishwa kodi ..... Na hii inawezekana hata Tanzania . Mtu yeyote anayefanyakazi anawajibika kuchangia uchumi wa nchi yake kwa kulipa kodi. Baadala ya kuwa tunalalamika tu kuwa nchi haina maendeleo.
na hii inafanyika katika nchi nyingi mojawapo ni PHILIPINES mara warudipo katika nchi yao (HATA LIKIZO) wanapigiwa mahesabu pale airpot au border then wanalipishwa kodi ..... Na hii inawezekana hata Tanzania . Mtu yeyote anayefanyakazi anawajibika kuchangia uchumi wa nchi yake kwa kulipa kodi. Baadala ya kuwa tunalalamika tu kuwa nchi haina maendeleo.
kama wewe ni mtanzania na unajiingizia kipato au umejiingizia kipato kutoka nje ya nchi basi unawajibika kulipa kodi kwa kipato ulichojiingizia. Kama wanavyolipa kodi watanzania wenzako wanaofanyakazi hapa nchini.
upuuzi mtupu. mnashindwa kukusanya mapato: bandarini, madini, gesi nk. alafu mnaleta uppuzi hapa.