Watanzania wamvaa Beyonce, wataka haki itendeke

Tuna wasanii au wapige kelele
Hapo ni Sawa aje director Steven Spielberg atake kufanya movie... Wabongo watake kwenye movie hyo awepo Uwoya na wema ant Ezekiel na Steve nyerere


Ova
Sasa Mr. Mrangi unataka kusema hao wapopo waliopo wamewazidi nini wasanii wetu.

Tupende vyetu mazee... industry yetu ya muziki ni kubwa tu tusibebeze tunawasanii wazuri tu. Tupendeni vyetu watanzania.

Usifikiri mgeni atakipenda chako kama umeshindwa kipenda wewe.
 
Kweli aisee kuna watu wavivu sana aisee.
Kuna muvi imeyoka mwaka huu sijui mwaka jana ianitwa HOTEL MUMBAI.Hii muvi imebase kwenye trie event ambayo ilitokeaga India mwaka 2008 kuna waPakistan wakivamia hii hotel na kuua watu wengi tu.
Yaani kuanzia 2008 mpaka 2018 wahindi wamelala tu.Wazungu wakaona sasa huu wehu wakaamua kuitolea muvi na wamepiga hela ndefu tu.
Itafute
 
Ninakumbuka ishu ya tukio hilo la kusikitisha ambalo lilishitua dunia nzima,innocent peoples wanauawa ,kosa lao to be in a wrong place at a wrong time(mmoja wao alikamatwa na kuhukumiwa,kama sikosei)umenena sana mkuu hatuwezi kuwapangia wenye fedha zao jinsi ya kuzitumia,tutafute za kwetu ili nasi tujipangie,after all nimelipenda sana hili jina lako,nimebahatika kufika kwenye hiyo sehemu kulikotokea pambano hilo la Isandlwana,wenzetu wanapatunza ili kulinda historia yao,sisi hapa sijui ile sehemu Mtwa Mkwawa alipowashinda Wajerumani kama tunapatunza na kupatangaza ,tungepata watalii wengi mno kutoka Ujerumani,ILA tumepaasha na historia ile inapotea.tuendeleeni kusubiri.
 
Imetoka mwaka huu
 
Tutengeneze ya kwetu alafu tumuingize domo ,kibamia na konk masterπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…