Watanzania wamefungiwa Internet sababu ya Uchaguzi

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,016
Reaction score
16,433
Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.

Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.

*****
MIJADALA MINGINE INAYUHUSISHA UZIMAJI WA MTANDAO NCHINI
 
Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.
Nimependa ulivyomalizia bandiko lako.
"Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole"
 
Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.

Umetokea Mombasa nini? Maana hicho Kiswahili nimekipenda!
 
Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.
Naombeni muimbe nyimbo ya CCM

#Wapeipenda wenyewe.........
 
Kila mtu aseme jina ya VPN anayotumia.
Halafu serikali ya Tanzania inafaa kutumia teknolojia inayoitwa mobile phone jammers ili kuzuia Wabongo kutumia internet kabisa, yaani hata VPN haitafanya kazi. Ndio mjue kuwa nchi bila upinzani sio jambo nzuri.
 
Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.
Haijawahi kuzimwa huko sababu hiyo technology ya kufanya hivyo hamna, Nigeria wenyewe hawana mtakua ninyi?

Ni Tanzania tu Africa ina technology ya kufreeze a specific app
 
Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.
Ukweli mtupu mkuu, bila vpn ata kuona thread yko issue
 
Kila mtu aseme jina ya VPN anayotumia.
Halafu serikali ya Tanzania inafaa kutumia teknolojia inayoitwa mobile phone jammers ili kuzuia Wabongo kutumia internet kabisa, yaani hata VPN haitafanya kazi. Ndio mjue kuwa nchi bila upinzani sio jambo nzuri.

Hadi aibu bana nyang’au mshapata point. Kwa kweli aliyetoa wazo la kuzima internet hakua mustaharabu ata kidogo. Kuna watu wanatumia internet kwa mambo mengi ya msingi ata kwa nchi. Lakini ndo hivyo bana acha tuvumilie tu hakuna jinsi
 
Mimi natumia hizi
Kila mtu aseme jina ya VPN anayotumia.
Halafu serikali ya Tanzania inafaa kutumia teknolojia inayoitwa mobile phone jammers ili kuzuia Wabongo kutumia internet kabisa, yaani hata VPN haitafanya kazi. Ndio mjue kuwa nchi bila upinzani sio jambo nzuri.
Screenshot_2020-11-04-19-54-05.jpg
 
Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.
🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼 Zimbabwe
 
Jirani unachekelea matatizo yetu?
Rais wako juzi katoa pongezi kwa jamaa aliyetangazwa kuwa kashinda uchaguzi. Kwa namna moja au nyingine yeye anaunga mkono madudu tunayotendewa, wale waangalizi wa uchaguzi wa EAC wanasema uchaguzi ulikuwa huru na haki.
Jirani tuombee hii Africa waafrica huigana kwa matendo usitucheke ukashangaa kesho inafanywa Kenya.
 
Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole

Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.
Japo sikubaliani na hili la kufungia mitandao ya kijamii bila sababu za msingi, lakini huwezi linganisha na Kenya ambako hawafungii mitandao ya kijamii lakini wanawapiga risasi wananchi wanaojaribu kutumia Uhuru wao kupinga matokeo ya uchaguzi.

Ingelikua ni Kenya hadi sasa zaidi ya watu 100 wangekua waneshapigwa risasi na kupoteza maisha. Tanzania zaidi ya kuwatisha na kuwahoji viongozi waliotishia kufanya maandamano, hakuna hata mtu mmoja aliyepoteza maisha. Tanzania hoyeeeeee
 
Halafu yalivyo mang'ombe mwiba wenyewe yamejidunga kwenye korodani!
Tanzania ndio nchi ya Kwanza kufunga internet kwnye ichaguzi ???
Hivi serikali na idara zake zote hawana akili wewe ndio mjuvi sana auvipi ? Isaac Newton Ausio ?

Una lalamika sana jamaa kila siku unatukana wewe tuu
Kwanini unajibebesh Mzigo mkubwa sana kaka hama Nchi nenda Russia Au Canada wanataka watu kule
 
Hakuna hata mtu mmoja aliepoteza maisha?!Siyo rahisi kudanganya kwenye dunia hii ya utandawazi!

View attachment 1619563
Akikujibu hii unitag.
 
Back
Top Bottom