Watanzania wamefungiwa Internet sababu ya Uchaguzi

Watanzania wamefungiwa Internet sababu ya Uchaguzi

Mbona Wabongo wengi wanalamba makalio ya CCM wakati CCM inawadharau hivi?
Hata wana ccm wanalia kimyakimya sasa hv. TBC wanakwambia unaweza kufuatilia zoezi la uapishwaji kupitia INSTAGRAM, FACEBOOK, TWITTER na YOUTUBE.
 
Unaweza ukaweka source ya hii habari kama hautajali?
Hiyo habari imejaaa mitandaoni
IMG_20201105_073954.jpg
 
Wewe ndio ulikuwa unatishia kuuwa Watanzania watakao andamana?
Mungu atakupiga kiboko. Kiboko chako kinafanya summersault ngoja tu kinakuja
 
Those using Commercial VPNs are stupid..You are handing over your phone/computer's private data to hackers, pedophiles and extortionists all for hiding behind a keyboard to hurl insults to H.E Magufuli JP..

Stop Being stupid, Do this
1. Create a Vps on GCP/Azure/AWS
2. Install Debian or Centos
3. Download and configure either -
a)StrongSwan - don't use a passphrase instead create and sign your own Root Certificate (At least 4096 bit cert)

b) install Debian or Centos, Install and configure SoftEther VPN on your cloud VPS of choice. The advantage of this is that you can tunnel through DNS or ICMP bypassing TCP based firewall rules

To avoid all these hustles, stop being a cry baby come out in the open and insult H.E Magufuli openly without being a pussy. Die like a man
 
Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.
Ndio imezuiwa kwasababu ya usalama ila nanyi mujiandae 2020 Kwa viongozi wenu wanavyopenda kuiga lazima wataiga tu .
 
Eti na bado kuna watz ambao wana matumaini kwamba hatimaye watafunguliwa internet na hali ya 'full access' bila 'restrictions' itarejea kama hapo awali. Chini ya dikteta ambaye ana bunge, mahakama, vitengo vya usalama na mihimili yote mfukoni mwake. Hahaha! Hadi nawaonea huruma hawa majirani. Wake up and read the signs of the times you senseless sheep!
 
Mkuu sisi watz hatunaga tabu kabisa😀😀😀. Tumeshamwachia Mungu atawashughulikia waliohjumu uchaguzi🤣🤣🤣🤣
 
Those using Commercial VPNs are stupid..You are handing over your phone/computer's private data to hackers, pedophiles and extortionists all for hiding behind a keyboard to hurl insults to H.E Magufuli JP..

Stop Being stupid, Do this
1. Create a Vps on GCP/Azure/AWS
2. Install Debian or Centos
3. Download and configure either -
a)StrongSwan - don't use a passphrase instead create and sign your own Root Certificate (At least 4096 bit cert)

b) install Debian or Centos, Install and configure SoftEther VPN on your cloud VPS of choice. The advantage of this is that you can tunnel through DNS or ICMP bypassing TCP based firewall rules

To avoid all these hustles, stop being a cry baby come out in the open and insult H.E Magufuli openly without being a pussy. Die like a man
Aisee, yaani hadi na nyie mataga pia mmezimiwa internet? Baada ya mayai yote ambayo mlitagishwa?
 
Hamkupigwa risasi kwa sababu nyie ni waoga. Hakuna mtu aliyejitokeza kuandamana. Tundu Lissu aliitisha maandamano lakini kila mtu aliogopa. Halafu sio kweli kusema kwamba hakuna mtu aliyepigwa risasi na polisi. Kuna watu wamepigwa risasi hapo TZ na video zipo mitandaoni.
Polisi wenu walikuwa tayari kuwamiminia marisasi ila kwa uwoga wenu mkakataa kuandamana.
Tony ni kweli kuna waliouliwa.na tunaogopa andamana sababu ya kuhofia uhai wetu.
Imagine ukiwaona watoto wako hata barabarani unaweza pata guts za kuingia?
Na pia usisahau magufuli na Uhuru ni ndege wafananao,uchaguzi wenu unakuja mmejiandaa vipi?
Unaweza ukawa unatucheka sisi kumbe kwenu kuna challenge kubwa inakuja zaidi ya sisi! Utajuaje?
Africa imejaa viongozi walafi wa madaraka,hatupaswi kuchekana Bali kukemea maovu.
 
Wacha kutetea maovu haya. Serikali yako haina haki ya kuwafungia internet. Mjifunze kupigania haki yenu, sio kukubali kila kitu.
Internet haijazuiliwa, ni some apps zinazotumia internet. When are you Kenyans stop with false propaganda abt Tz
 
Hahaha... Watanzania ni watu wa ajabu Sana

Tanzania inadaiwa billioni Mia moja kwa kuzima mtandao wa internet,Tcra imezitia kampuni Kama Google hasara kubwa Sana kwa muda waliozima Internet..

Indeleeni Ku freez,na nyinyi mtafiziwa
Internet haijafungwa mazee, ni some apps, ingia Google uone kama haifunguki.
 
Eti na bado kuna watz ambao wana matumaini kwamba hatimaye watafunguliwa internet na hali ya 'full access' bila 'restrictions' itarejea kama hapo awali. Chini ya dikteta ambaye ana bunge, mahakama, vitengo vya usalama na mihimili yote mfukoni mwake. Hahaha! Hadi nawaonea huruma hawa majirani. Wake up and read the signs of the times you senseless sheep!
Internet ipo, you just can't access and load pictures kwenye some apps zinazotumia internet like ig, whatsap, fb, Twitter.
But Google, quora etc zote zinafanya kazi, that's a lie spread by oppositions since most of their fans ni watu wa ig, Twitter, fb, snap then sleep. I know you love anything negative abt Tz, but that's a lie.
 
Internet haijafungwa mazee, ni some apps, ingia Google uone kama haifunguki.
Apps gani?ukifungia some Apps maana yake unaikosesha biashara Google

Nasike kila wakiitia netblock wanapata error msg.

Mtajijua, mtaisoma namba
,
 
Internet ipo, you just can't access and load pictures kwenye some apps zinazotumia internet like ig, whatsap, fb, Twitter.
But Google, quora etc zote zinafanya kazi, that's a lie spread by oppositions since most of their fans ni watu wa ig, Twitter, fb, snap then sleep. I know you love anything negative abt Tz, but that's a lie.
Nyie ni marobot kweli. Eti bado mnawalaumu upinzani? Ambao tayari mmefanikiwa kuufuta?
 
Nyie ni marobot kweli. Eti bado mnawalaumu upinzani? Ambao tayari mmefanikiwa kuufuta?
Boya na kuelezea kuhusu uzushi wa internet kufungwa unaleta masuala ya upinzani kufutwa, inaonyesha imekuuma sana upinzani Tz kufutwa.
Ndio washafutwa, na internet haijafungwa, kajinyonge.
 
Back
Top Bottom