www.timeshighereducation.co.uk/world-university-rankings/2012-13/world-ranking/range/001-200
kwanza hiyo Harvard ni ya nne ....
Kilaza wewe xio bure ...
Sio kweli
sikupanga kuchangia uzi huu lkn mkuu umenifanya nicheke sana.Muislaam ni mmoja tu?
Oyaaaaaa.......... SCUD hizoooooooo ZAJA. Ngoja nisepe Kinyamwezi..... (Natyega)
Yes and NoNadhani thread hizi zingekuwa zinaandikwa kwenye Plain paper basi ingekuwa ni kuharibu karatasi tu. Yaani hakuna zaidi ya UJIKO tu, ni sawa na huko kwetu kuona aliyemaliza UDSM is briliant than mzumbe, SUA, IFM. My friend usifikiri kitaaluma graduate wa Havard ni tofauti sana na graduate wa edinburg, Yale, Alabama, UDSM, Makerere etc. Ni kweli kwa USA na duniani kote kuna vyuo vinabebwa na historia sababu ya ukongwe wake. kwa hiyo futa hiyo dhana yako kuwa aliyesoma Havard anakitu cha ziada kitaaluma than others. We have to get rid frm such idological slevary. ni sawa na zamani ukisikia mtu kaenda ulaya hata kuosha vyombo basi anakuwa Gumzo la Jiji au Kijijini.
THINK BIG!
Hii ndo JF bhana, tuna kila aina ya watu! Hongera mdada!Justinian Rweyemamu Hawa wawili wa chini nilikutana nao Maryland near Washington DC. Somebody Daghar, Orijino Tanga. Dr. Ahmed M. (B/M and PhD) zote Harvard. USA hawamwachii huyu hata kidogo yupo NSA, Orijino Dodoma.
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
Nadhani thread hizi zingekuwa zinaandikwa kwenye Plain paper basi ingekuwa ni kuharibu karatasi tu. Yaani hakuna zaidi ya UJIKO tu, ni sawa na huko kwetu kuona aliyemaliza UDSM is briliant than mzumbe, SUA, IFM. My friend usifikiri kitaaluma graduate wa Havard ni tofauti sana na graduate wa edinburg, Yale, Alabama, UDSM, Makerere etc. Ni kweli kwa USA na duniani kote kuna vyuo vinabebwa na historia sababu ya ukongwe wake. kwa hiyo futa hiyo dhana yako kuwa aliyesoma Havard anakitu cha ziada kitaaluma than others. We have to get rid frm such idological slevary. ni sawa na zamani ukisikia mtu kaenda ulaya hata kuosha vyombo basi anakuwa Gumzo la Jiji au Kijijini.

Ni nani na yuko wapi now?

Mpaka September 2012, record inaonesha kuna alumni 85 kutoka nchi ya Tanzania🙁 (http://www.worldwide.harvard.edu/iws/pdf/International_Alumni_Breakdown_by_Country_2011.pdf)
Kenya wapo 183 na Uganda 47!
Inaweza kuwa kazi ngumu kupata majina yao.
Mkuu sikatai mawazo yako. Ni kweli juhudi zako na uwezo wako ndio kigezo bila kujalisha umesomea wapi.Ni best kwenye fan flan flan tu na sio zote sidhan kuwa kusoma pale basi na wewe utakuwa wa ukweli 100% game la kuwa mkali ni akili yako na determination jina la chuo ni mbwembwe tu
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
Dr Harith Ghassany.
hata niingekua mimi nsingerudi....kwa hili li nchi lilivo??Justinian Rweyemamu
Hawa wawili wa chini nilikutana nao Maryland near Washington DC.
Somebody Daghar, Orijino Tanga.
Dr. Ahmed M. (B/M and PhD) zote Harvard. USA hawamwachii huyu hata kidogo yupo NSA, Orijino Dodoma.