Mpaka September 2012, record inaonesha kuna alumni 85 kutoka nchi ya Tanzania🙁 (http://www.worldwide.harvard.edu/iws/pdf/International_Alumni_Breakdown_by_Country_2011.pdf)
Kenya wapo 183 na Uganda 47!
Inaweza kuwa kazi ngumu kupata majina yao.
hakuana sumu mbaya duniani kama chukiume buugi man!
my husband -mastersso far nawajua wawili tu
andrew chenge, na arnold kileo...
Kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
hakuana sumu mbaya duniani kama chuki
Kimberly Mihayo,
Asante ,majina tutayapata tu...
bora kujaza vichwa hivyo bungeni kuliko kina Lusinde
Faizafoxy
FaizaFoxyJustinian Rweyemamu
Hawa wawili wa chini nilikutana nao Maryland near Washington DC.
Somebody Daghar, Orijino Tanga.
Dr. Ahmed M. (B/M and PhD) zote Harvard. USA hawamwachii huyu hata kidogo yupo NSA, Orijino Dodoma.
Nadhani mkuu The Boss kuna haja ya kuwajua, kama na Chenge (Mzee wa vijisenti) amesoma huko!....Hii itatusaidia kupima mchango wao kwa sababu uwezo wa wahitimu wa chuo ni miongoni mwa vigezo muhimu kutathmini ngazi ya ubora wa chuo husika.
Aaah......kumbe wewe pia ulipiga Yale..?.... tutafutane bana tukumbushane mambo ya chuo......hivi humu tutakuwa wangapi......?.....
jitahidi uongeze shule
hata harvard ufike
Lowasa
Huoni kwa faida ya taifa hasa hao waliosoma uchumi tunapaswa kuwafahamu?
Chenge hafanani kabisa
ila Kileo namheshimu mno...ni kichwa cha kweli