Watanzania waliosoma Havard

Show off blog...
Naona kila mtu anajimwambafy ana Phd, sijui Masters na kikazi fulani...lakini matokeo ni ngojera tupu.....
 
Huyo mjinga bure kabisa. Unasoma chuo kinachofundisha maadili mema halafu unakuja kua mwizi aliyebobea.
Sio kila aliyesoma hapo ana akili.
 
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...

kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
Prof. Boas, mtanzania toka Tabora anafundisha kwenye chuo hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…