100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,227
- 36,577
Lini nimemtetea mtawala yeyote kwenye hii serikali dhalimu?Mlimtetea humu huyo mamasita wenu mkasema watu wana mu-attack kutokana ni mvaa mashuka mwenzenu bila kujali kiwango cha damu aliyomwaga🩸,leo hii mnamuonea tena huruma ya nini ema ze boy wakati yaliyomkuta ni product ya makuu ya mamasita wenu
Rubbish🚮
Mnoo, wanafki mnoo acha waendelee kutukunyuga hadi akili zikae sawa labda kizazi kipya wataamka mana sisi hakuna kituWakati huo huo angeendelea kupambana akiwa kiongozi hao hao wangesema anafanya maigizo na lao ni moja na boss wake... kwa kweli kuwaelewa Watanzania ni kazi ngumu sana...
Ndio yale ya Polepole , anayeikosoa serikali akiwa nje ya nchi unasikia wakisema kwanini asije nchini kama ni mzalendo kweli... walipogundua ametekwa akiwa nchini hao hao wakasema kwanini aikosoe serikali akiwa nchini? Kwanini asingejificha nje ya nchi?
Mmoja wapo ni ErythrocyteKipindi Nchimbi anazungumzia suala la wananchi kupambania katiba mpya wadau wengi humu walidai ni tamthilia chama tawala kinafanya na EN ni muigizaji tu...
Wakasema wakitaka waamini kama kweli ana maanisha asemacho ajiuzulu...
Kama vile EN aliwasikia, kajiuzulu, wadau wamerudi tena povu likiwatoka kwanini amejiuzulu, kwanini asingekomaa hadi kieleweke... Kwanini ajiuzulu kiwepesi wepesi..
Wakati huo huo angeendelea kupambana akiwa kiongozi hao hao wangesema anafanya maigizo na lao ni moja na boss wake... kwa kweli kuwaelewa Watanzania ni kazi ngumu sana...
Ndio yale ya Polepole , anayeikosoa serikali akiwa nje ya nchi unasikia wakisema kwanini asije nchini kama ni mzalendo kweli... walipogundua ametekwa akiwa nchini hao hao wakasema kwanini aikosoe serikali akiwa nchini? Kwanini asingejificha nje ya nchi?
Sasa sijui tushike wapi?
Hoja yako itakuwa na mashiko kama utatoa mifano angalau miwili ya watu waliosema hizo contradictory statements. Yaani mtu huyo huyo awe amesema kwamba Nchimbi ajiuzulu halafu huyo huyo amkosoe EN kwa kujiuzulu kwake!. Vinginevyo hizi zinabaki kuwa ni hisia zako tuKipindi Nchimbi anazungumzia suala la wananchi kupambania katiba mpya wadau wengi humu walidai ni tamthilia chama tawala kinafanya na EN ni muigizaji tu...