PointlessMoja kati ya vyanzo vya umasikini Tanzania ni private schools. 80% ya watanzania kulipia 3M kila mwaka kwa kila mtoto kwa miaka 20 ni kukaribisha umasikini.
Priority ya kila mzazi inatakiwa iwe ni kuwekeza kwa ajili ya miaka ijayo. Education is no longer a reliable investment to be that expensive.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni pointi kwa kweliMoja kati ya vyanzo vya umasikini Tanzania ni private schools. 80% ya watanzania kulipia 3M kila mwaka kwa kila mtoto kwa miaka 20 ni kukaribisha umasikini.
Priority ya kila mzazi inatakiwa iwe ni kuwekeza kwa ajili ya miaka ijayo. Education is no longer a reliable investment to be that expensive.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kindergarten 2.8 M duh! Mimi nimesoma diploma yangu ya mambo ya ardhi sijalipa 2.8M kwa mwakaNilienda ulizia kindergarten eti 2.8mil hapo sijaweka usafiri. Nikaona isiwe tabu mtoto asome nyumbani tu hadi umri wa kuanza ukifika
Sent using Jamii Forums mobile app
Vere truuMoja kati ya vyanzo vya umasikini Tanzania ni private schools. 80% ya watanzania kulipia 3M kila mwaka kwa kila mtoto kwa miaka 20 ni kukaribisha umasikini.
Priority ya kila mzazi inatakiwa iwe ni kuwekeza kwa ajili ya miaka ijayo. Education is no longer a reliable investment to be that expensive.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba nisipompeleka feza boyz nitakiona cha moto?? Au unamaanisha nini?mazojms,
education will always be the first priority usimpeleke mtoto wako utakiona cha moto! na spidi yenyewe ya dunia ndo hii
Wengi wako kwenye madeni kila kukicha, ili tu watoto wao wasome feza na shule zingine kama hizo. Div I ya single digit haina influence yeyote kwenye future ya mtoto.Ni pointi kwa kweli
Bora utafte option ya bei nafuu kiasi English Medium hizohizo lakini pia ufanye hata biashara
Hii ishu unasomeshaa weee af mtt kazi hapato bora akute vitega uchumi
Ni vipaumbele tu, mimi nimeuliza tu kàma hii sera ya elimu kweli ipo ili kumpa mtanzania elimu bora, wala sitaki kulinganisha na hayo uliyosema, tusichanganye mambo.Ila kukopa 20m kununua magari sio tatizo. Kayumba bado zipo.
Sera ndio hio ipo Kayumba. Sasa ni kuchagua kipaumbele chako ukope 20m ununue gari au ukamlipie ada apate elimu bora zaidi ya Kayumba.Ni vipaumbele tu, mimi nimeuliza tu kàma hii sera ya elimu kweli ipo ili kumpa mtanzania elimu bora, wala sitaki kulinganisha na hayo uliyosema, tusichanganye mambo.
Ni kweli heri kumlea na kumuandaa mtoto kwa maisha ya namna yoyoteWengi wako kwenye madeni kila kukicha, ili tu watoto wao wasome feza na shule zingine kama hizo. Div I ya single digit haina influence yeyote kwenye future ya mtoto.
Kama mzazi anampenda mtoto aitengeneze future ya mtoto leo (both kiakili na kiuchumi), hakuna shule inayofundisha watoto namna ya kufukuza umasikini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio 20m itabidi tutoshee...gari na ada..sisomeshi mtoto IST mimi hata kama nna uwezo kwa kweliSera ndio hio ipo Kayumba. Sasa ni kuchagua kipaumbele chako ukope 20m ununue gari au ukamlipie ada apate elimu bora zaidi ya Kayumba.
Moja kati ya vyanzo vya umasikini Tanzania ni private schools. 80% ya watanzania kulipia 3M kila mwaka kwa kila mtoto kwa miaka 20 ni kukaribisha umasikini.
Priority ya kila mzazi inatakiwa iwe ni kuwekeza kwa ajili ya miaka ijayo. Education system is no longer a reliable investment to be that expensive.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa matumizi ya hela ni nini zaidi hayo?Hio 20m itabidi tutoshee...gari na ada..sisomeshi mtoto IST mimi hata kama nna uwezo kwa kweli
Bora kujiwekeza vitega uchumi zaidiSasa matumizi ya hela ni nini zaidi hayo?
We jamaa unafikiria mbali sanaWengi wako kwenye madeni kila kukicha, ili tu watoto wao wasome feza na shule zingine kama hizo. Div I ya single digit haina influence yeyote kwenye future ya mtoto.
Kama mzazi anampenda mtoto aitengeneze future ya mtoto leo (both kiakili na kiuchumi), hakuna shule inayofundisha watoto namna ya kufukuza umasikini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hivi ndio inafanya elimu yetu isiwe practical, nchi moja sera tofauti za elimu, za Kayumba na private sioni kama ni sawa.Sera ndio hio ipo Kayumba. Sasa ni kuchagua kipaumbele chako ukope 20m ununue gari au ukamlipie ada apate elimu bora zaidi ya Kayumba.
Ukiona unawaza hivyo ujue hujafikia level hizo.Bora kujiwekeza vitega uchumi zaidi
Ada ya IST ni balaa!!ni mufilisi ile
Shule English Medium mbona zipo nyingi tu nzuri
Kweli kabisa! Vizuri kuangalia penye unafuu unapoweza kupamudu.Bora kujiwekeza vitega uchumi zaidi
Ada ya IST ni balaa!!ni mufilisi ile
Shule English Medium mbona zipo nyingi tu nzuri
Kuna ukweliUkiona unawaza hivyo ujue hujafikia level hizo.
Elimu Bora afu anakuja tafuta kazi na wenzie wa Kayumba au huwa inakuwaje?.Kweli kabisa! Vizuri kuangalia penye unafuu unapoweza kupamudu.
Ila tambua "kizuri kina gharama". Hivyo hata elimu bora ina gharama vile vile.