nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,029
- 2,894
PointlessMoja kati ya vyanzo vya umasikini Tanzania ni private schools. 80% ya watanzania kulipia 3M kila mwaka kwa kila mtoto kwa miaka 20 ni kukaribisha umasikini.
Priority ya kila mzazi inatakiwa iwe ni kuwekeza kwa ajili ya miaka ijayo. Education is no longer a reliable investment to be that expensive.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app