Watanzania wako vizuri ukiangalia shule za kulipia zilivyo nyingi mtaani

Moja kati ya vyanzo vya umasikini Tanzania ni private schools. 80% ya watanzania kulipia 3M kila mwaka kwa kila mtoto kwa miaka 20 ni kukaribisha umasikini.

Priority ya kila mzazi inatakiwa iwe ni kuwekeza kwa ajili ya miaka ijayo. Education is no longer a reliable investment to be that expensive.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni pointi kwa kweli
Bora utafte option ya bei nafuu kiasi English Medium hizohizo lakini pia ufanye hata biashara
Hii ishu unasomeshaa weee af mtt kazi hapato bora akute vitega uchumi
 
Ni pointi kwa kweli
Bora utafte option ya bei nafuu kiasi English Medium hizohizo lakini pia ufanye hata biashara
Hii ishu unasomeshaa weee af mtt kazi hapato bora akute vitega uchumi
Wengi wako kwenye madeni kila kukicha, ili tu watoto wao wasome feza na shule zingine kama hizo. Div I ya single digit haina influence yeyote kwenye future ya mtoto.

Kama mzazi anampenda mtoto aitengeneze future ya mtoto leo (both kiakili na kiuchumi), hakuna shule inayofundisha watoto namna ya kufukuza umasikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kukopa 20m kununua magari sio tatizo. Kayumba bado zipo.
Ni vipaumbele tu, mimi nimeuliza tu kàma hii sera ya elimu kweli ipo ili kumpa mtanzania elimu bora, wala sitaki kulinganisha na hayo uliyosema, tusichanganye mambo.
 
Ni vipaumbele tu, mimi nimeuliza tu kàma hii sera ya elimu kweli ipo ili kumpa mtanzania elimu bora, wala sitaki kulinganisha na hayo uliyosema, tusichanganye mambo.
Sera ndio hio ipo Kayumba. Sasa ni kuchagua kipaumbele chako ukope 20m ununue gari au ukamlipie ada apate elimu bora zaidi ya Kayumba.
 
Wengi wako kwenye madeni kila kukicha, ili tu watoto wao wasome feza na shule zingine kama hizo. Div I ya single digit haina influence yeyote kwenye future ya mtoto.

Kama mzazi anampenda mtoto aitengeneze future ya mtoto leo (both kiakili na kiuchumi), hakuna shule inayofundisha watoto namna ya kufukuza umasikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli heri kumlea na kumuandaa mtoto kwa maisha ya namna yoyote
Pia kama ana kipaji chochote usipuuzie huwezi jua fate yake
Yani ni zama za kuwa na zaidi ya 'elimu' ya darasani
 
Moja kati ya vyanzo vya umasikini Tanzania ni private schools. 80% ya watanzania kulipia 3M kila mwaka kwa kila mtoto kwa miaka 20 ni kukaribisha umasikini.

Priority ya kila mzazi inatakiwa iwe ni kuwekeza kwa ajili ya miaka ijayo. Education system is no longer a reliable investment to be that expensive.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umeongea kitu kikubwa sana jamaa yangu.
 
Wengi wako kwenye madeni kila kukicha, ili tu watoto wao wasome feza na shule zingine kama hizo. Div I ya single digit haina influence yeyote kwenye future ya mtoto.

Kama mzazi anampenda mtoto aitengeneze future ya mtoto leo (both kiakili na kiuchumi), hakuna shule inayofundisha watoto namna ya kufukuza umasikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa unafikiria mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sera ndio hio ipo Kayumba. Sasa ni kuchagua kipaumbele chako ukope 20m ununue gari au ukamlipie ada apate elimu bora zaidi ya Kayumba.
Na hivi ndio inafanya elimu yetu isiwe practical, nchi moja sera tofauti za elimu, za Kayumba na private sioni kama ni sawa.
 
Mimi elimu ya msingi ya kenya naikubali sana.. kuliko english medium za Tanzania..

Nawaza mwanangu akasome boarding kenya.. ila akue kue kwanza..

Kulipa mamilioni shule za kibongo naona natajirisha wenye shule tu.. huku bongo mtaala mbovu na hata english yenyewe mbovu ya walinu wanaomfundisha.. na muda wote akikaa na wenzake wanaongea kiswahili tu.. kenya najua english ataijua fasta.. na mtaala wa kenya ni mzuri..

Sijawai kuona Mtanzania aliyesoma primary school kenya utotoni.. akarudi bongo secondary necta akapata div 4 sijai kuona.. hata kama sekondari hasomi serious anacheza cheza bado hapati div 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora kujiwekeza vitega uchumi zaidi
Ada ya IST ni balaa!!ni mufilisi ile
Shule English Medium mbona zipo nyingi tu nzuri
Kweli kabisa! Vizuri kuangalia penye unafuu unapoweza kupamudu.

Ila tambua "kizuri kina gharama". Hivyo hata elimu bora ina gharama vile vile.
 
Kweli kabisa! Vizuri kuangalia penye unafuu unapoweza kupamudu.

Ila tambua "kizuri kina gharama". Hivyo hata elimu bora ina gharama vile vile.
Elimu Bora afu anakuja tafuta kazi na wenzie wa Kayumba au huwa inakuwaje?.
Anarudi kuanzisha Kampuni?...Bora option hio ya kujiajiri...ila kama ni matazamio ya kuajiriwa kwa kweli investment hailipi sana

ulipie IST Chuo hawasomi hapa lazma aende nje afu akimaliza....heri hio pesa tutafte mustakabali mapema...ama tuendeleze kipaji chake specific amudu maisha
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom