We tafuna mbususu za kibrazil urudi,mambo ya kuchoreshana hayatakiwi ugenini,utajiingiza ktk misala isiyokuhusu,wabongo wenyewe wanaishi kimazabe huko kuuza ngada,wizi etc,usitafute kujuana sana ugeniniHabari za Jioni ndugu zangu FB
Ngoja niende moja Kwa moja kwenye point, wiki iliyopitaa nimeweza pata kufka kwenye Jiji maarufu huku Latin America la Rio de Janeiro.
Niko kikaz kidogo ila nitataman kukutana na watanzania waishio katika jiji hili tupge story mbili tatu na kufahamiana zaidi. Kama Uko free basi karibu pm tujajengeee. Ahsante sana.
Haha kweli,wote huko wabongo wako mazabe tuWe tafuna mbususu za kibrazil urudi,mambo ya kuchoreshana hayatakiwi ugenini,utajiingiza ktk misala isiyokuhusu,wabongo wenyewe wanaishi kimazabe huko kuuza ngada,wizi etc,usitafute kujuana sana ugenini
Hahaha nenda mkuuHilo Jiji nina hamu kubwa siku moja nikatembelee hizo Favela Meat loaf na P,Cabanna niinjoi Vyura in Thongs.
Unataka kufa nini ? ,Crime rate ya Hilo jiji ni balaa , wahuni ndio waliozaliwa hukoHabari za Jioni ndugu zangu FB
Ngoja niende moja Kwa moja kwenye point, wiki iliyopitaa nimeweza pata kufka kwenye Jiji maarufu huku Latin America la Rio de Janeiro.
Niko kikaz kidogo ila nitataman kukutana na watanzania waishio katika jiji hili tupge story mbili tatu na kufahamiana zaidi. Kama Uko free basi karibu pm tujajengeee. Ahsante sana.
Favela ni hatari sana huko mkuu,mitaa inatawaliwa na madrug dealer tu hasa kule milimani,kule kula shaba ni jambo la kawaida tu,Hilo Jiji nina hamu kubwa siku moja nikatembelee hizo Favela Meat loaf na P,Cabanna niinjoi Vyura in Thongs.
Mimi nitajichunga na Brazilian Police kuliko dealers Favelas ni Product ya Ubaguzi dhidi ya AfroBrazilians nilishawahi kuwa na uhusiano na Binti mmoja alikuwa ni Mixed Race alikuwa ni mhamiaji haramu alikuwa natumia Portugal Passport alikuwa ni Mrembo kweli kweli tulipotezana baada ya wyeye kuwa DeportedFavela ni hatari sana huko mkuu,mitaa inatawaliwa na madrug dealer tu hasa kule milimani,kule kula shaba ni jambo la kawaida tu,
Copacabana beach kuna unafuu kiasi ila ukiingia kule ndani ndani ni balaa.
Unaweza kukuta mleta mada hili bandiko wala sio lake,amelichomoa tu huko FB na kujimilikisha.Hapa siyo FB
ππ Afuate ushauri wako mkuu.We tafuna mbususu za kibrazil urudi,mambo ya kuchoreshana hayatakiwi ugenini,utajiingiza ktk misala isiyokuhusu,wabongo wenyewe wanaishi kimazabe huko kuuza ngada,wizi etc,usitafute kujuana sana ugenini
Hilo Jiji nina hamu kubwa siku moja nikatembelee hizo Favela Meat loaf na P,Cabanna niinjoi Vyura in Thongs.