Kakke
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,883
- 1,482
Watanzania waishio nje ya nchi wameanza kufunga virago na kuyahama matawi ya ccm yalofunguliwa nje ya Tanzania .
Hali hio imejitokeza kutakana na kauli ya ya Mh Lukuvi kuwaona wao sio pati ya Watanzania na mchango wao hauna faida yoyote katika mother land yao.
Wengi wameichukulia kauli ya Mh Lukuvi nikama vile kisasi cha kutaka kuwakomoa .
Mtandao wetu umewasiliana na wana diaspora wa Tanzania nakusema wamevunjwa moyo sana na kauli za Mh huyu kuto kujali mchango wao katika nchi yao.
Katika kuhojiana na wana Tanzania wanaoishi nje wamehudhunishwa sana na kauli zake .
Hata kama wao wako nje lakini kikazi na bado wao ni watanzania na wanaipenda nchi yao na ndio maana wanacho kipata hukutuma nyumbani ili kiwezi kusaidia wao na ndugu zao na jamii ilio wazungumka kwa ujumla.
Wamekua wakisema sisi si wachina au wa south africa kua tuhamishe Tanzania na kupeleka katika ma-nchi yetu no.
Sisi ni watanzania ,Tumezaliwa Tanzania na kuwa na wazee ndugu na jamaa Tanzania na Tanzania ndio kwetu.
Hatuwezi kujenga china au popote pale zaidi ya kujenga kwetu katika nchi yetu kwenye chimbuko la wazee wetu na ndugu zetu .
Nilazima tuekeze kwetu na tu-invest home land kama wana diaspora wengine katika kuwekeza nchi zao .