Watanzania wa diaspora wayahama matawi ya CCM yalofunguliwa nje

Kakke

Kakke

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Messages
1,871
Likes
781
Points
280
Kakke

Kakke

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2010
1,871 781 280
Watanzania waishio nje ya nchi wameanza kufunga virago na kuyahama matawi ya ccm yalofunguliwa nje ya Tanzania .

Hali hio imejitokeza kutakana na kauli ya ya Mh Lukuvi kuwaona wao sio pati ya Watanzania na mchango wao hauna faida yoyote katika mother land yao.

Wengi wameichukulia kauli ya Mh Lukuvi nikama vile kisasi cha kutaka kuwakomoa .

Mtandao wetu umewasiliana na wana diaspora wa Tanzania nakusema wamevunjwa moyo sana na kauli za Mh huyu kuto kujali mchango wao katika nchi yao.

Katika kuhojiana na wana Tanzania wanaoishi nje wamehudhunishwa sana na kauli zake .

Hata kama wao wako nje lakini kikazi na bado wao ni watanzania na wanaipenda nchi yao na ndio maana wanacho kipata hukutuma nyumbani ili kiwezi kusaidia wao na ndugu zao na jamii ilio wazungumka kwa ujumla.

Wamekua wakisema sisi si wachina au wa south africa kua tuhamishe Tanzania na kupeleka katika ma-nchi yetu no.

Sisi ni watanzania ,Tumezaliwa Tanzania na kuwa na wazee ndugu na jamaa Tanzania na Tanzania ndio kwetu.

Hatuwezi kujenga china au popote pale zaidi ya kujenga kwetu katika nchi yetu kwenye chimbuko la wazee wetu na ndugu zetu .

Nilazima tuekeze kwetu na tu-invest home land kama wana diaspora wengine katika kuwekeza nchi zao .

twahil

twahil

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
3,878
Likes
2,212
Points
280
Age
32
twahil

twahil

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
3,878 2,212 280
Kama ni Watanzania ila ni diaspora wanakuwa affected vipi na kauli ya Mh. Lukuvi?

Hivi Mh. Lukuvi mlimuelewa au mnataka kudandia matukio kama kawaida yenu.
 
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
24,751
Likes
17,039
Points
280
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
24,751 17,039 280
Watanzania waishio nje ya nchi wameanza kufunga virago na kuyahama matawi ya ccm yalofunguliwa nje ya Tanzania .

Hali hio imejitokeza kutakana na kauli ya ya Mh Lukuvi kuwaona wao sio pati ya Watanzania na mchango wao hauna faida yoyote katika mother land yao.

Wengi wameichukulia kauli ya Mh Lukuvi nikama vile kisasi cha kutaka kuwakomoa .

Mtandao wetu umewasiliana na wana diaspora wa Tanzania nakusema wamevunjwa moyo sana na kauli za Mh huyu kuto kujali mchango wao katika nchi yao.

Katika kuhojiana na wana Tanzania wanaoishi nje wamehudhunishwa sana na kauli zake .

Hata kama wao wako nje lakini kikazi na bado wao ni watanzania na wanaipenda nchi yao na ndio maana wanacho kipata hukutuma nyumbani ili kiwezi kusaidia wao na ndugu zao na jamii ilio wazungumka kwa ujumla.

Wamekua wakisema sisi si wachina au wa south africa kua tuhamishe Tanzania na kupeleka katika ma-nchi yetu no.

Sisi ni watanzania ,Tumezaliwa Tanzania na kuwa na wazee ndugu na jamaa Tanzania na Tanzania ndio kwetu.

Hatuwezi kujenga china au popote pale zaidi ya kujenga kwetu katika nchi yetu kwenye chimbuko la wazee wetu na ndugu zetu .

Nilazima tuekeze kwetu na tu-invest home land kama wana diaspora wengine katika kuwekeza nchi zao .

Unajua maana ya diaspora??
 
C

chuwaalbert

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Messages
3,587
Likes
1,859
Points
280
C

chuwaalbert

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2010
3,587 1,859 280
Dear Sipora...Unajiunganisha na Nchi ama CCM?
 
kagombe

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Messages
3,018
Likes
1,058
Points
280
kagombe

kagombe

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2015
3,018 1,058 280
ccm dah
 
U

Umenitoa Gizani

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2016
Messages
388
Likes
176
Points
60
Age
49
U

Umenitoa Gizani

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2016
388 176 60
Hawa watu wadhibitiwe hivyohivyo . Ukiruhusu uraia nchi mbili mabalozi na maafisa wengine wanaweza kusaliti nchi wakabaki ughaibuni. Pia wanaweza kuwa madalali wa raslimali zetu has a ardhi. Watz tuwe makini.Kina Mange wstakuwa wengi
 
K

Kiyawi

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Messages
1,394
Likes
685
Points
280
K

Kiyawi

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2011
1,394 685 280
Kumbe ccm waliwapa ahadi hii hewa ndiyo maana mlikua mnakata mauno kusheherekea na madera ya kijani..
Wa Tanzania wa Diaspora hawajawa affected ila ni wale walioukana uraia wa Tz na kuwa raia wa nchi nyingine!! mueleweni Lukuvu sawa sawa. Mimi ningesema wale wazawa wangeruhusiwa kuwa na uraia pacha (yaani wamatumbi, wamangati, wahazabe, and of the like) na siyo Waajemi, waarabu, wahindi and of the like) kwani mmatumbi even if ni kizazi cha tano bado origin ni umatumbini, I hope hapa mnanielewa na siyo kumwaga mchele mbele ya kuku wengi!!!
 
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2009
Messages
17,224
Likes
2,217
Points
280
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2009
17,224 2,217 280

Ubaguzi utakutafuna mpk wewe na wanao.
Dadako akiolewa na Muhindi hao watoto wa dadako uwapeleke India au?
Unadhani kubagua mtu kwa rangi utafanikiwa na kuneemeka?

Mtu wa aina yako Unaonekana umekosa vyote.
Elimu na kipato.
Sasa umeamua usambaze chuki tu bila kujua athari zake.

Tazama Uganda walipofuata sera za kibaguzi hali ilikuwa vipi.
Leo museveni karuhusu mpk uraia wa nchi mbili kwa watu wake.
Na mtu wa kabila lolote na taifa lolite Ruksa kumiliki ardhi.

Uliwahi kujiuliza. Muhindi anaemilikia ardhi Tanzania akajenga kiwanda inayo fadikia Ni India au Tanzania na wananchi wake?

Bora kukosa kipato kuliko Elimu.
Halafu tunajiuliza why Tanzania maskini.

Dah..
 
K

Khamisiya

Senior Member
Joined
Dec 22, 2015
Messages
149
Likes
70
Points
45
K

Khamisiya

Senior Member
Joined Dec 22, 2015
149 70 45
Huyu Lukuvi hasa alimaanisha diospora wa Zanzibar wanaoishi arabuni. Kama vile Sita alivyobwatuka kule aghaibuni kuhusu watu hao. Watu hawa kwa aslimia 50 mpaka 75 wanadamu ya Zanzibar ila mababu ama mabibi zao wa mbali walikuja East Afrika na kuzaliana na sisi. Kule arabuni hawathaminiwi ipasavyo kwamba wao sio raiya wa kule na huku kwao ambao mababu na baba na mama zao pamoja na ndugu na mali zao ziliko Lukuvi anawakataa ati kwa sababu wana rangi ya mbali na weupe. Wee Lukuvi we huoni haya , Lakini hiyo ndio sera yao CCM ubaguzi wa Rangi na ukabila na umajimbo uliojificha.
 
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
12,923
Likes
5,456
Points
280
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
12,923 5,456 280
Kama ni Watanzania ila ni diaspora wanakuwa affected vipi na kauli ya Mh. Lukuvi?

Hivi Mh. Lukuvi mlimuelewa au mnataka kudandia matukio kama kawaida yenu.
We uko wapi kwanza tujue
 
S

sweettablet

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Messages
1,941
Likes
844
Points
280
S

sweettablet

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2014
1,941 844 280
Watanzania waishio nje ya nchi wameanza kufunga virago na kuyahama matawi ya ccm yalofunguliwa nje ya Tanzania .

Hali hio imejitokeza kutakana na kauli ya ya Mh Lukuvi kuwaona wao sio pati ya Watanzania na mchango wao hauna faida yoyote katika mother land yao.

Wengi wameichukulia kauli ya Mh Lukuvi nikama vile kisasi cha kutaka kuwakomoa .

Mtandao wetu umewasiliana na wana diaspora wa Tanzania nakusema wamevunjwa moyo sana na kauli za Mh huyu kuto kujali mchango wao katika nchi yao.

Katika kuhojiana na wana Tanzania wanaoishi nje wamehudhunishwa sana na kauli zake .

Hata kama wao wako nje lakini kikazi na bado wao ni watanzania na wanaipenda nchi yao na ndio maana wanacho kipata hukutuma nyumbani ili kiwezi kusaidia wao na ndugu zao na jamii ilio wazungumka kwa ujumla.

Wamekua wakisema sisi si wachina au wa south africa kua tuhamishe Tanzania na kupeleka katika ma-nchi yetu no.

Sisi ni watanzania ,Tumezaliwa Tanzania na kuwa na wazee ndugu na jamaa Tanzania na Tanzania ndio kwetu.

Hatuwezi kujenga china au popote pale zaidi ya kujenga kwetu katika nchi yetu kwenye chimbuko la wazee wetu na ndugu zetu .

Nilazima tuekeze kwetu na tu-invest home land kama wana diaspora wengine katika kuwekeza nchi zao .

Hii habari ni ya kiudaku. Haina source, haina tawi hata moja lililotajwa kukimbia. Kweli?
 
mangikule

mangikule

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Messages
3,411
Likes
1,475
Points
280
mangikule

mangikule

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2012
3,411 1,475 280
Watanzania waishio nje ya nchi wameanza kufunga virago na kuyahama matawi ya ccm yalofunguliwa nje ya Tanzania .

Hali hio imejitokeza kutakana na kauli ya ya Mh Lukuvi kuwaona wao sio pati ya Watanzania na mchango wao hauna faida yoyote katika mother land yao.

Wengi wameichukulia kauli ya Mh Lukuvi nikama vile kisasi cha kutaka kuwakomoa .

Mtandao wetu umewasiliana na wana diaspora wa Tanzania nakusema wamevunjwa moyo sana na kauli za Mh huyu kuto kujali mchango wao katika nchi yao.

Katika kuhojiana na wana Tanzania wanaoishi nje wamehudhunishwa sana na kauli zake .

Hata kama wao wako nje lakini kikazi na bado wao ni watanzania na wanaipenda nchi yao na ndio maana wanacho kipata hukutuma nyumbani ili kiwezi kusaidia wao na ndugu zao na jamii ilio wazungumka kwa ujumla.

Wamekua wakisema sisi si wachina au wa south africa kua tuhamishe Tanzania na kupeleka katika ma-nchi yetu no.

Sisi ni watanzania ,Tumezaliwa Tanzania na kuwa na wazee ndugu na jamaa Tanzania na Tanzania ndio kwetu.

Hatuwezi kujenga china au popote pale zaidi ya kujenga kwetu katika nchi yetu kwenye chimbuko la wazee wetu na ndugu zetu .

Nilazima tuekeze kwetu na tu-invest home land kama wana diaspora wengine katika kuwekeza nchi zao .

Nimemsikiliza Lukuvi vizuri hasa kwa reference anazotoa za Patel wa Mwanza. Huyu bwana ana address ya Nzega na ameishi Tanzania kwa zaidi ya miaka hamsini. Hapa Mwanza ni agent wa Toyota kanda ya Ziwa na biashara nyingi sana kubwa. Hawa wameishi na kuzaliwa hapa. Hivi kosa lao labda ni kuwa na uraia wa nchi nyingine.
Kwa mtindo huu wafuatiliwe akina Nyalandu ambao wana uraia wa marekani. Kama suala ni uhindi au uarabu basi tukumbuke akina Amir Jamal hawakuzikwa hata tanzania baada ya kufariki. Kwa mtindo huu akina Manji na wafadhili wengi wa chama hicho wataondoka na nina hakika wengi wa mawaziri wana uraia mara nyingi tu!! Tuache double standard kama tunataka kuoverhaul tufanye kweli siyo majungu. Ama sivyo ninamuona Idd Amin akija tanzania na kufukuza waasia.
 
Wako watoto wa mawaziri hapo wana uraia wa nje na wamejenga mahoteli makubwa sana huko Beach.
Na wako mpk wabunge hapo wana uraia miwili. Na wanajulikana.

Wako Viongozi hapo wameingia Ubia kwenye VIWANDA na mali hizo zina majina ya WATOTO WAO wenye URAIA MIWILI.

WAKO WATOTO WA MARAIS waliotangulia wana raia mbili.
Na serikali Inawatambua.

Sasa wakianza kuonea wanyonge wasidhani Watu watakaa kimya.
Moto utakaolipuka Serikali hii Ambayo Magufuli anajidanganya kuwa ni Wasafi KUNA LAANA TUPU HUMO.

If i was LUKUVI “I'd rather not open up that whole can of worms.”

let bygones be bygones

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
G

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
2,991
Likes
3,049
Points
280
G

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
2,991 3,049 280
Watanzania waishio nje ya nchi wameanza kufunga virago na kuyahama matawi ya ccm yalofunguliwa nje ya Tanzania .

Hali hio imejitokeza kutakana na kauli ya ya Mh Lukuvi kuwaona wao sio pati ya Watanzania na mchango wao hauna faida yoyote katika mother land yao.

Wengi wameichukulia kauli ya Mh Lukuvi nikama vile kisasi cha kutaka kuwakomoa .

Mtandao wetu umewasiliana na wana diaspora wa Tanzania nakusema wamevunjwa moyo sana na kauli za Mh huyu kuto kujali mchango wao katika nchi yao.

Katika kuhojiana na wana Tanzania wanaoishi nje wamehudhunishwa sana na kauli zake .

Hata kama wao wako nje lakini kikazi na bado wao ni watanzania na wanaipenda nchi yao na ndio maana wanacho kipata hukutuma nyumbani ili kiwezi kusaidia wao na ndugu zao na jamii ilio wazungumka kwa ujumla.

Wamekua wakisema sisi si wachina au wa south africa kua tuhamishe Tanzania na kupeleka katika ma-nchi yetu no.

Sisi ni watanzania ,Tumezaliwa Tanzania na kuwa na wazee ndugu na jamaa Tanzania na Tanzania ndio kwetu.

Hatuwezi kujenga china au popote pale zaidi ya kujenga kwetu katika nchi yetu kwenye chimbuko la wazee wetu na ndugu zetu .

Nilazima tuekeze kwetu na tu-invest home land kama wana diaspora wengine katika kuwekeza nchi zao .

Huo mtandao wenu kwa nini msiutumie kutuletea Ben?
 
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2009
Messages
17,224
Likes
2,217
Points
280
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2009
17,224 2,217 280
Serikali imeshindwa kutumia hizo TAKUKURU na TAKUKARA and So on KUKAMATA MAJAMBAZI YANAYOUA ASKARI na Raia wasio na Hatia Inakwenda Kutumia nguvu zote Kukamata Mtu aliyenunua Mali KWA PESA ZA HALALI bila kudhumu mtu.
Na km kafanya Kosa na Nyie waungwana mnaojali Haki ya Mtu KWANINI msimpe Ruksa japo AVIUZE?
Kwani Hizo Pesa KAIBIA MTU?
Na Km Issue ni Kumiliki ardhi si Viwanja vingeuzwa apewe pesa yake alionunulia Kuliko KUDHULUMU HAKI YA MTU?

Au angepewa Sharti amuandikishe Mtanzania Viwanja Hivyo.

SERIKALI YA MAGUFULI MNAONE WANYONGE.

Mungu hatowaacha.

Viongozi wa namna yenu wamepita wengi tu Dunia.
Yule moja wa Israeli alikuwa anadhulumu waisraeli Weusi wa Ethiopia Alikuwa Ktk COMA Miaka zaidi ya 9.
Kufa hafi, kupona hapo.
kafa mwaka Jana.

Na Nyie Subirini Fimbo ya Mungu. Mtaomba Kufa lkn Hamfi.
Chezeni tu na Haki za watu.
 
Forum statistics

Threads 1,272,939
Members 490,212
Posts 30,465,192