FBI watatenga eneo la protestors, Ulinzi utaimalishwa kuwadhibiti kama wakivuruga utaratibu. Policcm hawalijui hilo, wanachofanya ni kuficha ukweli, Kuwakamata watu wenye mabango ndio kutasababisha fujo. By the way why did you exclude yourself?
View attachment 100170
Lazima Obama alisome ili tutaliweka kiintelejesia PALE AIR PORT.
Watakuja mkuu! utapenda kushika bango la saizi gani?
Sipo dar mkuu!
Kuna sababu ya kutumia ujio wa raisi wa marekani kufikisha ujumbe kwa yale yanayotusibu kwa jumuiya za kimataifa!!
Tusikae kimya..
Tuiseme demokrasia yetu,
Andikeni pia kuhusu ufisadi na unepotism unaoendelea hapa kwetu..
Let the world see..
Msiache kuaandaa mabango na ya bebe jumbe zenye maana..
Wana jf tuwekeni maneno hapa kuwasapot watu wa dar..na wale wa maeneo ya jirani!!
..andika ujumbe ambao ungependa usomeke kwenye mabango..
Watanzania waishio dar na maeneo ya jirani wataona na kuyaweka..
Mkuu we hewa kwali kwani obama baba yako mpaka upeleke yanayokusibu upeo huu utakuwa wa kibavicha tu.Kuna sababu ya kutumia ujio wa raisi wa marekani kufikisha ujumbe kwa yale yanayotusibu kwa jumuiya za kimataifa!!
Tusikae kimya..
Tuiseme demokrasia yetu,
Andikeni pia kuhusu ufisadi na unepotism unaoendelea hapa kwetu..
Let the world see..
Msiache kuaandaa mabango na ya bebe jumbe zenye maana..
Wana jf tuwekeni maneno hapa kuwasapot watu wa dar..na wale wa maeneo ya jirani!!
..andika ujumbe ambao ungependa usomeke kwenye mabango..
Watanzania waishio dar na maeneo ya jirani wataona na kuyaweka..
Mkuu wewe unayetaka mabango yaandae halafu kaandamane nyumbani kwako au kwenu make wewe lazima utakuwa mtoto wa mama tuusidanganye wenzetu, kuwa haupo Dar, acheni tumpokee kwa AMANI kwani kaichagua Tanzania na Mji Salaam tunapata sifa nyingi hata km ni kwa uzoba wetutumeshaambiwa tusiingie Dar sasa ya nini ujinga wa kupambana na virungu?![]()
![]()
Safi sana pinda wapigwe tu,watakupiga tu.hahaha duuh kweli JF ni kiboko kwa ubunifu, sasa? Kwenda Airport pale ndio shughuli pevu maana mamwela wa mhusika kwenye bango hapo juu watalipora na kulificha bango lenyewe
usidanganye wenzetu, kuwa haupo Dar, acheni tumpokee kwa AMANI kwani kaichagua Tanzania na Mji Salaam tunapata sifa nyingi hata km ni kwa uzoba wetutumeshaambiwa tusiingie Dar sasa ya nini ujinga wa kupambana na virungu?![]()
![]()
Mkuu we hewa kwali kwani obama baba yako mpaka upeleke yanayokusibu upeo huu utakuwa wa kibavicha tu.