kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,239 Reaction score 17,677 Jul 1, 2013 Thread starter #81 wabongo bana hakuna hata mmoja aliyetoka na walau kabango kakizushi..jamani jamani watanzania hatunazo
wabongo bana hakuna hata mmoja aliyetoka na walau kabango kakizushi..jamani jamani watanzania hatunazo
Wazo la kabwela JF-Expert Member Joined Feb 13, 2013 Posts 1,883 Reaction score 1,465 Jul 1, 2013 #82 kiwatengu said: wabongo bana hakuna hata mmoja aliyetoka na walau kabango kakizushi..jamani jamani watanzania hatunazo Click to expand... mimi hukuniona na bango pale tazara?? Nilikua nimesimama pemben ya nguzo ya umeme
kiwatengu said: wabongo bana hakuna hata mmoja aliyetoka na walau kabango kakizushi..jamani jamani watanzania hatunazo Click to expand... mimi hukuniona na bango pale tazara?? Nilikua nimesimama pemben ya nguzo ya umeme
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,239 Reaction score 17,677 Jul 1, 2013 Thread starter #83 Wazo la kabwela said: mimi hukuniona na bango pale tazara?? Nilikua nimesimama pemben ya nguzo ya umeme Click to expand... Sasa hapo kwa pembeni CNN, BBC n.k wangekuonaje mkuu? wewe si miongoni mwa wale waliopagawa na kuingia barabarani?
Wazo la kabwela said: mimi hukuniona na bango pale tazara?? Nilikua nimesimama pemben ya nguzo ya umeme Click to expand... Sasa hapo kwa pembeni CNN, BBC n.k wangekuonaje mkuu? wewe si miongoni mwa wale waliopagawa na kuingia barabarani?
Wazo la kabwela JF-Expert Member Joined Feb 13, 2013 Posts 1,883 Reaction score 1,465 Jul 1, 2013 #84 kiwatengu said: Sasa hapo kwa pembeni CNN, BBC n.k wangekuonaje mkuu? wewe si miongoni mwa wale waliopagawa na kuingia barabarani? Click to expand... mimi ckuweza kuingia barabaran coz bango lilikuwa kubwa sana mkuu alaf nilikua na njaa sana
kiwatengu said: Sasa hapo kwa pembeni CNN, BBC n.k wangekuonaje mkuu? wewe si miongoni mwa wale waliopagawa na kuingia barabarani? Click to expand... mimi ckuweza kuingia barabaran coz bango lilikuwa kubwa sana mkuu alaf nilikua na njaa sana
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,239 Reaction score 17,677 Jul 1, 2013 Thread starter #85 Wazo la kabwela said: mimi ckuweza kuingia barabaran coz bango lilikuwa kubwa sana mkuu alaf nilikua na njaa sana Click to expand... hujachelewa lakini, hebu kesho mida ya saa nne uwahi mitaa ya Ubungo jamaa atapita
Wazo la kabwela said: mimi ckuweza kuingia barabaran coz bango lilikuwa kubwa sana mkuu alaf nilikua na njaa sana Click to expand... hujachelewa lakini, hebu kesho mida ya saa nne uwahi mitaa ya Ubungo jamaa atapita