South waliweza but kichapo wakapewa..sasa bongo si ndo itakuwa full kung'oana meno,kutoana kucha, mabomu....nk
Source: EAST AFRICA TIMES
Source: EAST AFRICA TIMES
South waliweza but kichapo wakapewa..sasa bongo si ndo itakuwa full kung'oana meno,kutoana kucha, mabomu....nk
View attachment 100250
Source: EAST AFRICA TIMES
Ni mapema sana kuogopa mkuu...
labda tuyaandae then tuya post mitandaoni na magezitini...jamaa wanapenda sifa kuwa tanzania 100% tupo sawa...and of course Obama shida yake sio demokrasia...yenye amekuja kuchukua chake
Africa has never been a priority for the United States
means mwizi akifanikiwa kuiba utamlaumu aliyeibiwa..
kwa swala hili inabidi tumlaumu aliyeibiwa mana amekosa kutumia maarifa yake na ya wananchi wake mpaka aje kusaidiwa kiwatengu tuna kila kitu tz why tushindwe wenzetu waweze ni uzembe wa viongozi wetu acha obama ajilie tukimwangalia kwa asirana kiwete akichekelea
View attachment 100170
Lazima Obama alisome ili tutaliweka kiintelejesia PALE AIR PORT.
Nataka kuidownload niitupie fb lkn inagoma...
Mkuu, ubungo ataenda saa nne asubuhi..
Wananchi wameruhusiwa kujitokeza
View attachment 100164
Tushaanza kuyaandaa ila tuko mafichoni si unajua kauli ya Pinda.
We vipi, unamwogopa kenge? Yule amehalalisha polisi kupigwa nasi raia amezungusha tu maneno yake ila nia yake ni polisi kudundwa na kuumizwa vibaya sana ili serikali ipate kisingizio. Subiri tu mtamuona anakuja kuomba radhi na kurekebisha kauli yake maana naye huwaga haeleweki.
South waliweza but kichapo wakapewa..sasa bongo si ndo itakuwa full kung'oana meno,kutoana kucha, mabomu....nk
View attachment 100250
Source: EAST AFRICA TIMES