Watanzania wa Dar! Andaeni mabango...

Watanzania wa Dar! Andaeni mabango...

Sio lazima bango la maandishi, unaweza kujitokeza hata na picha ya 'tembo anayedondokwa machozi baada ya kunyofolewa pembe'

Ujumbe utafika tu hata ukichelewa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

yap! lugha ya picha nayo itasound sana..

na tuchore mashimo ya migodi waone jinsi wanavyotuachia maafa makubwa...
 
... I wonder if dar people are really going to pull this off!
 
Tuna mengi sana yakuweka..ujue watu walioelimika hutumia hizi chance vizuri kufikisha ujumbe.

wanamuonea baba wa watu tu, ungejua whitefox marekani wanavyomchukia wanatamani wamtoe kwenye hicho kiti lkn ndo hawawez inawauma kuongozwa mnigga
 
wanamuonea baba wa watu tu, ungejua wightfox marekani wanavyomchukia wanatamani wamtoe kwenye hicho kiti lkn ndo hawawez inawauma kuongozwa mnigga

Anachobug ni kwenye sera yake ya ushoga..

Mi simwoni kama ni rahisi mbaya..

Naamini kina Baba V, figganigga na watanzania wengine waishio dar washaanda yao.
 
Last edited by a moderator:
... I wonder if dar people are really going to pull this off!

Dar people they should do something bana..to stay quit as we dont have problems is to betray our poor democras we have..
 
Anachobug ni kwenye sera yake ya ushoga..

Mi simwoni kama ni rahisi mbaya..

Naamini kina Baba V, figganigga na watanzania wengine waishio dar washaanda yao.

tatizo ni kwamba hilo la ushoga kwao marekani wako wengi mno kiasi kwamba hata kulipinga ni noma mpaka viongozi wa nchi wengine na elimu zao ni mashoga,yaani kwa kifupi wengi wao ni watu wenye wadhfa mkubwa tu nchini so inakuwa ni ngumu kuwakataza
 
Kwanini alilete hadi huku afrika? si aseme mengine tu...

Kwanza hata symbion power yenyewe anayokuja kucheki ni ya kiuwizi tu. marekani wanatuibia sana
 
sioni sababu ya kumlaumu obama tuilaumu serikali na viongozi wetu ndo wazembewao wanafanya kila jinsi kuitawala dunia so kazi kwetu akili kumkichwa kumeza au kutema
 
kwa hiyo mwizi akifanikiwa kuvunja na kuiba utamlaumu mwenye mali? au mwizi
 
Ccm wore akili zao kama pinda tu,haiwezekani ukashabikkia upumbavu ukabaki salama.
 
sioni sababu ya kumlaumu obama tuilaumu serikali na viongozi wetu ndo wazembewao wanafanya kila jinsi kuitawala dunia so kazi kwetu akili kumkichwa kumeza au kutema

means mwizi akifanikiwa kuiba utamlaumu aliyeibiwa..
 
Safi sana pinda wapigwe tu,watakupiga tu.

Yaani nina uhakika kama wewe ni mwanaume lazima utakua ni shoga halafu ni siku nyingi hajakugusa hicho kiwasheli ndio maana unawashwawashwa, kwani lazima uchangie kila uzi..
 
exactly..and i blv he deserve more than this!..
 
Back
Top Bottom