Watanzania tuwamwage mafisadi

moshijeff

Senior Member
May 31, 2011
102
5
Huzuni WATANZANIA, huzuni sana, tumechoka waTz kulaghaiwa, tulisika Ari mpya na zaidi, iko wapi? tulisikia Nguvu mpya na zaidi, iko wapi? tulisikia kasi mpya na zaidi, iko wapi? tulisikia maisha bora, yako wapi? Kama yapo maeneo yenu si vibaya wanajf mnitel hapa jamvini, huku kwetu nasema hakuna kitu wakuu.
Uchumi unamilikiwa na wachache, ajira kwa vijana ni shida sana, watoto wa vigogo wanapendelewa, wamanchinga wanasakwa kila kona na wamekuwa kama wakimbizi kwenye nchi yao, na mikataba inafanywa kwa siri kubwa, na tenda kutolewa kwa upendeleo, JAMANI WATZ MAGAMBA HAWATUFAI HATA KIDOGO TUWAMWAGE KWELI.
CCM imeshindwa kukomesha wala rushwa na mafisadi. Dawa yao CDM YULE PALE MKOMESHA MAFISADI wananchi wote, Tanzania nzima tuungane kwa pamoja katika historia mpya ya ukombozi wa taifa letu kutoka mikononi mwa wakoloni weusi magamba.
 
Punguza mayowe! CCM ni janga la Taifa. We uko wapi kwanza? Waelimishe watu wote uliokaribu nao jinsi CCM walivyokuwa sumu kwa maisha ya watanzania. Kama upo karibu na maeneo ya shule, sambaza vipeperushi kuhusu huyu mdudu CCM. Uwe makini na watendaji uchwara huko uliko. Ni siri..
 
Nimekusoma kamanda msnajo, amani kwako hiyo kazi naifanya kuliko size ya kawaida mkuu
 
Back
Top Bottom